Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanawe Rais Zuma hatiani Afrika Kusini

Jopo moja nchini Afrika Kusini limegundua kuwa mwanawe Jacob Zuma hakua makini hadi kusababisha ajali ya barabarani ambapo mwanamke mmoja alifariki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Mtoto wa Rais Zuma atiwa hatiani Afrika Kusini.

Jopokazi moja nchini Afrika Kusini limesema kua mwanawe Jacob Zuma hakua makini alipokuwa anaendesha gari hadi kusababisha ajali ya barabarani ambapo mwanamke mmoja alifariki.

Awali kiongozi wa mashitaka hakuwa tayari kumchukulia hatua zozote za kisheria mwanawe Zuma.

Sasa atakabiliwa na shinikizo za kumfungulia mashitaka.

Gari la Duduzane Zuma aina ya Porsche iligonga gari dogo la abiria mjini Johannesburg mwezi Februari, na kumuua mwanamke huyo papo hapo.

Mwandishi wa BBC Pumza Fihlani...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA KULA KIAPO ZA RAIS ZUMA WA AFRIKA KUSINI LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini leo Mei 24, 2014. Rais Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa kwake leo Mei 24, 2014. 
Ndege za kijeshi zikiunda umbo la "20" kuashiria miaka ishirini ya uhuru kamili...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI PRETORIA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE JACOB ZUMA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Pretoria, Afrika Kusini, usiku wa kuamkia leo Mei 24, 2014 tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe Jacob Zuma leo Jumamosi Mei 24, 2014 katika Nelson Mandela Amphitheater (kumbi wa wazi wa Nelson Mandela) ambapo viongozi toka nchi 40 pamojan na Marais Wastaafu sita wanahudhuria.

 

10 years ago

Michuzi

JK akutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini Ikulu, Dar es salaam

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini Jumatatu  ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya Jumatatu, Desemba 22, 2014, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Afrika Kusini, Mheshimiwa Jacob Zuma.

Mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar Es Salaam, yalichukua kiasi cha saa moja na dakika 45 na yalihusu uhusiano kati ya Tanzania na Afrika Kusini.

Rais Zuma...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanawe Rais Zuma matatani

Mwanawe Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, Duduzane Zuma huenda akashitakiwa kwa kuendesha vibaya gari na kumuua mwanamke mmoja

 

11 years ago

Michuzi

wengi wajitokeza kwenye hafla ya kuapishwa kwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini leo

Umati wa watu wa Afrika Kusini na wengine kutoka nchi mbali mbali,ukiwa nje ya Majengo ya Umoja yaliopo kwenye Mji wa Pritoria nchini humo,tayari kwa hafla ya kuapishwa kwa Rais wa nchi ya Afrika Kusini,Mh. Jacob Zuma inayoendelea kufanyika hivi sasa.

 

9 years ago

Bongo5

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ampongeza Cassper Nyovest kwa kuweka historia, itazame show iliyomletea heshima hiyo (Video)

casper the domeKudhihirisha kuwa rekodi aliyoiweka Cassper Nyovest, Jumamosi ya Oct.31,2015 hakikuwa kitu kidogo, Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amempongeza rapper huyo kwa kuwa msanii wa kwanza wa Afrika Kusini kujaza ukumbi wa The Dome (sold-out show) ulioko jijini Johannesburg, wenye uwezo wa kuchukua watu 20,000, akiwa mwenyewe bila msaada wa msanii yeyote wa kimataifa. President […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani