Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Warioba: Siendi Dodoma makabidhiano ya Katiba

Dar/Dodoma. Wakati Katiba inayopendekezwa ikikabidhiwa kesho kwa Rais Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema hata akialikwa katika sherehe hizo hatahudhuria kutokana na majukumu aliyonayo kwa sasa.Jaji Warioba alisema angependa kuhudhuria sherehe hiyo ambayo pia itahudhuriwa na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wakuu wa mikoa, mabalozi na wageni mbalimbali, lakini kutokana na dharura aliyoipata haitawezekana.Sherehe hiyo itafanyika...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba: Siendi Dodoma makabidhiano

Wakati Katiba inayopendekezwa ikikabidhiwa kesho kwa Rais Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema hata akialikwa katika sherehe hizo hatahudhuria kutokana na majukumu aliyonayo kwa sasa.

 

11 years ago

Michuzi

MSIKILIZE JAJI JOEPH SINDE WARIOBA AKIWASILISHA RASIMU YA KATIBA MJINI DODOMA LIVE!

 JAJI JOEPH SINDE WARIOBA AKIWAKILISHA RASIMU YA KATIBA MJINI DODOMA HIVI SASA  LIVE! BOFYA HAPA

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jaji Warioba: Siioni Katiba Mpya

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema hali ya mambo yanayoendelea bungeni mjini Dodoma, haoni matumaini ya kupatikana Katiba mpya na hali hiyo imemkatisha tamaa. Wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

Majibu ya Jaji Warioba Katiba Mpya


  Imezingatia asilimia 20 tu ya maudhui ya Tume  Masharti ya mgombea binafsi hayatekelezeki  Kura ya maoni kabla ya uchaguzi mkuu haiwezekani  Muundo wa Muungano umeiweka Zanzibar pabaya zaidi  Ni vigumu Rais wa Muungano kutoka Zanzibar  Madaraka ya Bunge kuisimamia Serikali yamemomonyolewa  Hakuna anakoenziwa Nyerere, maadili yametupwa
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema muundo wa Muungano uliopendekezwa kwenye Katiba pendekezwa ‘una utata...

 

11 years ago

Mwananchi

Nape atofautiana na Jaji Warioba Bunge la Katiba

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema Bunge Maalumu la Katiba, litatekeleza majukumu yake kwa kufuata Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na si mawazo ya mtu yeyote.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba asilaumiwe kwa Rasimu ya Katiba

>Baadhi ya Wajumbe wa Bunge la Katiba, wamewataka wenzao kuacha kutoa tuhuma za kumlaumu, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kutokana na Rasimu ya pili aliyoiwasilisha bungeni, badala yake wajiandae kutetea misimamo yao

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aeleza mwafaka wa Katiba bora

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema suluhisho la kupata Katiba bora ni pande mbili zinazovutana zitakapofikia mwafaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani