Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jambo Squad wafungua mgahawa Arusha

Wasanii wa kundi la Jambo Squad kutoka Arusha wamethibitisha kauli ya kuwa muziki unalipa baada ya kufungua mgahawa jijini humo. Jambo Squad wamedai kuwa licha ya kuonekana wanafanya muziki wa tofauti, wameweza kupiga hatua kimaisha. “Sisi ni watoto wa uswahilini, tumelelewa uswahilini so maisha tunayajua,” waliiambia XXL ya Clouds FM. “Sisi ni watu wa biashara […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Jambo Squad Ft Young Omega — Jambo Squad Cafe

Vijana wa Jambo Squad kutoka Arusha wameachia wimbo mpya unaitwa “Jambo Squad Cafe” wamemshirikisha Young Omega Producer: DX (Mix.Noiz) Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Dewji Blog

KFC wafungua mgahawa mpya eneo la Kariakoo jijini Dar

  Mkurugenzi mkuu wa KFC nchini Tanzania, Louis Venter(kushoto) akikata utepe wakati wa ufunguzi wa tawi la KFC eneo  la Kariakoo jijini Dar ambapo waliweza kusherekea na watoto wenye mahitaji maalumu wa shule ya msingi ya Uhuru Mchanganyiko. Mkurugenzi mkuu wa KFC nchini Tanzania, Louis Venter akiwakaribisha wageni waalikwa pamoja na kuzungumza jambo wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa KFC eneo la Kariakoo jijini Dar Mkurugenzi mkuu wa KFC nchini Tanzania, LOuis Venter(katikati) akimkabidhi...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo5

New Video: Jambo Squad ft Nakaaya — Naarendu

Video mpya kutoka kwa Jambo Squad kutoka Arusha wakimshirikisha Nakaaya wimbo unaitwa “Naarendu” video imetaarishwa na kampuni ya Hoodpixx VMG Visual

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Bongo5

Music: Jambo Squad, Young Omega, Ruff G, J Deal — Kanuna[MyWoman]

Kundi la JamboSquad kutoka mkoani Arusha wametoa Remix ya “My Woman” huu wimbo wao unaitwa “Kanuna” wamewashirikisha Young Omega, Ruff G, J Deal. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Michuzi

Nakumatt wafungua Supermarket nyingine Arusha

Mwonekano wa Supermaket mpya ya mtandao wa maduka ya Nakumatt Holdings Ltd jijini Arusha baada ya kuzinduliwa jana kwenye eneo la TFA Arusha. Mwonekano wa Supermaket mpya ya mtandao wa maduka ya Nakumatt Holdings Ltd jijini Arusha baada ya kuzinduliwa jana kwenye eneo la TFA Arusha. Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera(kushoto) akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Nakumatt Holdings Ltd,Atul Shah akiangalia bidhaa mbalimbali kwenye Supermarket mpya ilifunguliwa eneo la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani