Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


INTRODUCING LadyFire ft Jambo Squad-Unabanjuka

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Jambo Squad Ft Young Omega — Jambo Squad Cafe

Vijana wa Jambo Squad kutoka Arusha wameachia wimbo mpya unaitwa “Jambo Squad Cafe” wamemshirikisha Young Omega Producer: DX (Mix.Noiz) Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Bongo5

Jambo Squad wafungua mgahawa Arusha

Wasanii wa kundi la Jambo Squad kutoka Arusha wamethibitisha kauli ya kuwa muziki unalipa baada ya kufungua mgahawa jijini humo. Jambo Squad wamedai kuwa licha ya kuonekana wanafanya muziki wa tofauti, wameweza kupiga hatua kimaisha. “Sisi ni watoto wa uswahilini, tumelelewa uswahilini so maisha tunayajua,” waliiambia XXL ya Clouds FM. “Sisi ni watu wa biashara […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Jambo Squad ft Nakaaya — Naarendu

Video mpya kutoka kwa Jambo Squad kutoka Arusha wakimshirikisha Nakaaya wimbo unaitwa “Naarendu” video imetaarishwa na kampuni ya Hoodpixx VMG Visual

 

9 years ago

Bongo5

Music: Jambo Squad, Young Omega, Ruff G, J Deal — Kanuna[MyWoman]

Kundi la JamboSquad kutoka mkoani Arusha wametoa Remix ya “My Woman” huu wimbo wao unaitwa “Kanuna” wamewashirikisha Young Omega, Ruff G, J Deal. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Vijimambo

JAMBO CONCEPTS (T) LTD, WACHAPISHAJI WA GAZETI LA JAMBO LEO WAPATA MSIBA TENA



Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda (pichani), baada ya kufariki dunia saa 7 usiku wa kuamukia leo katika Hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Msiba na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa kaka yake Mbezi Beach na taratibu zingine kuhusiana na msiba huo zitatolewa baadae.
Marehemu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani