Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jayjay Nimeumizwa na Mapenzi!

MAUMIVU niache! Msanii wa filamu ya Who Is My Child, Janeth Jackson ‘Jayjay’ amekiri kuumizwa na kulizwa na mapenzi mara kwa mara licha ya kuwa na muonekano wenye mvuto machoni kwa wanaume jambo linalomnyima amani ya maisha.

Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Jayjay alisema si rahisi kwa watu kuamini ukweli huo kutokana na uzuri wake wa umbo na sura, lakini ukweli ni kwamba hana furaha juu ya mapenzi kufuatia wanaume wengi kumtumia kisha kumkimbia bila kutimiza ahadi zao.

“Sina...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’

Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.

Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni,  Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa

“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilizungumzia suala la kuwajali wapenzi wetu. Niligusia suala ya kuwapa nafasi watuchune. apo walioshituka kuona kichwa kile cha habari lakini kiukweli sikumaanisha kuchuna kule ambako wanawake micharuko hufanya hasa kwa waume za watu, nilimaanisha utayari wa kila mmoja kumsaidia mwenzake kifedha. Mkeo akitaka pesa ili aende saluni kama zipo, mpe! Akihitaji pesa akanunulie vipodozi...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita. Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha baadhi ya watu ambao wanahusudu mapenzi kuliko kitu kingine utadhani wana pepo la ngono. Sikatai, kufanya mapenzi ni kitu muhimu sana hasa kwa watu walioingia kwenye ndoa. Kwa kifupi ni haki ya kila mmoja kuridhishwa na mwenza wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani