Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JE WAJUA SHERIA INARUHUSU KUTENGANA BILA TALAKA ?.

              KUSOMA  ZAIDI  links  goes  to  sheriayakub.blogspot.comNa  Bashir  Yakub.


Kawaida  wanandoa  wengi  wanapoingia  katika  migogoro  moja  ya  jambo  wanalokimbilia  kama  jawabu  la mgogoro  ni  talaka. 
 Kwa  misingi  ya  ndoa  za  kiislamu  talaka  huruhusiwa tofauti  na  misingi  ya  ndoa  za  kikiristo  ambazo talaka  huwa  haziruhusiwi.   
Hata  hivyo   hata  kama  ndoa  ni  ya  kikristo  ambayo hairuhusu  talaka linapokuja  suala  la  mahakama  basi  hata  ndoa  hizo  nazo ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: SHERIA INARUHUSU KUJIKINGA HADI KUUA

Na   Bashir  Yakub.
Kifungu  cha 18  cha  Sheria  ya  Kanuni  za  adhabu  sura  ya  16  kimeeleza  hatua  ya  mtu  kujikinga  mwenyewe,  kumkinga  mwenzake  ,  mali  yake  mwenyewe  na  mali  ya  mwenzake. Kujikinga( defence)  maana  yake  ni  kujilinda  au  kujitetea  inapokwa  imekutokea  dharula   ya  kuvamiwa  na  mtu  au  watu  waovu. Uovu  ni  uovu  si  lazima  awe  mwizi .  Hata  mtu  asiyekuwa  mwizi  lakini  amekuvamia  kwa  nia  ovu iwe  nyumbani, kazini  au  sehemu  nyingine...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA SHERIA INAKURUHUSU RAIA KUKATAA KUKAMATWA NA ASKARI TARATIBU ZINAPOKIUKWA ?

Na  Bashir  Yakub.Siku  zote  wananchi  wamekuwa    wakililalamikia jeshi  la polisi  kwa  namna  linavyoendesha  shughuli  zake hasa wakati  wa  ukamataji (arrest). Matumizi  ya  nguvu, ubabe    na  kutofuata  sheria    na  taratibu  maalum  limekuwa  ndio  tatizo  kubwa  kwa  wananchi  dhidi  ya  askari.  
Sio  siri  askari wamekuwa  wakitumia  nguvu  na  ubabe  mno  katika  kuwakamata raia.  Hata  pale pasipo  na  haja  yoyote  ya  kutumia  nguvu    bado  wao  wamekuwa  wakilazimisha...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KISHERIA MATUNZO KWA MWANAMKE HUENDELEA KUTOLEWA HATA BAADA YA KUTENGANA NAYE

Na  Bashir  Yakub.Suala   la  matunzo  haliishi  tu kwa  mtoto/ watoto.  Wengi  wa  wanaume wamekuwa  wakipendelea  kuwajibika  kwa  kutoa  matunzo  ya  watoto  na  kumuacha  mwanamke.  Jambo  hili  si  sawa  na  halikubaliki  kisheria. Ni  vema  kufahamu    kuwa  suala  la matunzo  kwa  mwanamke  limegawanyika   mara  nne.  Kwanza   kuna  matunzo  kipindi  ambacho  ni  cha  ndoa  ambapo  hakuna  mgogoro  wowote  baina  ya  wanandoa. Pili  kuna  matunzo  kwa  mwanamke  kipindi  ambacho...

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa Francis kurahisisha sheria ya talaka

Kiongozi wa kanisa katoliki anatarajiwa kutangaza sheria mpya zitakazowaruhusu wakatoliki kutoa talaka na kuoana upya

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: JE UMECHOSHWA NA UNAHITAJI TALAKA? FUATA HATUA HIZI

Na Bashir Yakub
Kuomba talaka si dhambi. Kama lingekuwa dhambi sheria isingeruhusu jambo hilo kwakuwa si kawaida ya sheria  kuhamasisha madhambi.  Ni kwasababu hii nasema kuwa atakayeona amebanwa basi aombe talaka. Si kosa hata kidogo kufanya hivyo isipokuwa ndivyo tunavyoelekezwa  na sheria zetu tunazozipenda na kuziheshimu sana.
1.   KUVUNJIKA  KWA  NDOA.
Kuvunjika kwa ndoa kwa mujibu wa sheria zetu za Tanzania kuna mazingira mengi. Baadhi ya mazingira hayo ni yale yaliyoorodheshwa kifungu...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA

Na  Bashir  YakubKatika adhima ya  ya mwendelezo wa makala za namna ya kuendesha kampuni leo tena tuangalie  kuhusu hisa na hasa namna ya kuhamisha hisa. 
HISA NININI.Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi  ni kusema kuwa hisa  ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni  ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: JE WAJUA MUDA WA HATI YA NYUMBA UKIISHA WAWEZA KUNYANGANYWA ARDHI?

Na Bashir YakubKwa wale ambao tayari wana hati za majumba au viwanja wanajua wazi kuwa hati hizo zimeandikwa muda maalum, tofauti na wengi wanavyofikiria hasa wale ambao pengine hawajamiliki ardhi au wanamiliki ardhi lakini hawamiliki nyaraka hii.
 Hati unayopewa ina muda maalum wa kuishi. Sio kweli kwamba ukishapata hati basi ndio umemaliza, hapana. Kama ilivyo kwa bidhaa nyingine au nyaraka nyingine kwa mfano leseni za kuendeshea vipando...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani