Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


utii wa sheria bila shuruti


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UTII WA SHERIA BILA SHURUTI BADO NI TATIZO

Dereva bodaboda akiwa mikononi mwa polisi baada ya kuwakimbia na baadaye kunaswa. Dereva huyo akiwa chini ya ulinzi. DOGO mmoja ambaye ni dereva wa bodaboda amejikuta akimaliza siku vibaya baada ya kukiuka sheria za usalama barabarani na kuwakimbia polisi ambao walimtolea uvivu kwa kumkimbiza na baadaye kufanikiwa kumtia mikononi. (Picha zote na Gabriel… ...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWAOMBA WANANCHI KUTII SHERIA ZA ARDHI BILA SHURUTI.

 Mkurugenzi Msaidizi wa usimamizi na udhibiti wa uendelezaji miji Wizara ya Ardhi na maendeleo ya Makazi, George Pangawe akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na Zoezi la bomoa bomoa linaliendelea katika kingo za mto Msimbazi jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi wa usimamizi na udhibiti wa uendelezaji miji Wizara ya Ardhi na maendeleo ya Makazi, George Pangawe jijini Dar es Salaam leo.Picha na Emmanuel Massaka wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tamasha Mbeya kubadili tabia za vijana bila shuruti

SHIRIKA la Evangelical Mission SOS International kutoka Sweden kwa kushirikiana na Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Mkoa wa Mbeya (CPCT), wameamua kubadilisha tabia za vijana bila shuruti. Katika kubadilisha tabisa...

 

10 years ago

Mwananchi

Utii wa sheria ni jukumu letu sote

Utii wa sheria ni jambo muhimu katika jamii. Sheria zimekuwapo tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

 

11 years ago

Habarileo

Kanisa lakumbusha utii wa sheria na mamlaka ya nchi

Askofu Gervas NyaisongaASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dodoma Mhashamu Gervas Nyaisonga  amewataka wananchi kutii sheria zilizowekwa na mamlaka ya nchi.

 

10 years ago

Michuzi

Utii wa Sheria kwa Madereva utapunguza ajali za Barabarani

Madereva hapa nchini wametakiwa kufuata sheria ya matumizi bora ya barabara ili kuepusha madhara yanayosababisha kupoteza maisha ya watu,ulemavu wa kudumu na upotevu wa mali.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani inayofanyika kitaifa mkoani Arusha,Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya uagizaji wa magari nchini ya Be Forward Tanzania,Daniel Mtaalam amesema njia hiyo ndio suluhu za ajali zinazotokea mara kwa mara.
Amesema wao kama wadau wa...

 

11 years ago

Michuzi

KIJITONYAMA VETERANS YATII KIPIGO CHAMABAO 3-1 BILA SHURUTI DHIDI YA WAUKAE VETERANS

Kikosi cha timu ya Kijitonyama Veterans, ambacho hii  kimekubali kipigo cha mabao 3-1 bila shuruti kutoka kwa wapinzani wao, Waukae Veterans, katika mchezo wa kirafiki uliochezwa leo asubuhi katika Uwanja wa Kijitonyama, Dar es salaam. Mabao ya Waukae yamefungwa na Felix Kopou na mawili yakifungwa na Athuma Bamia. Bao la kufutia machozi la Kijitonyama Veterans, likifungwa na Norbert. Kikosi cha Waukae Veterans. Wachezaji wa timu zote mbili wakishoo love kabla ya mchezo huo. Mafoto...

 

9 years ago

Michuzi

JE WAJUA SHERIA INARUHUSU KUTENGANA BILA TALAKA ?.

              KUSOMA  ZAIDI  links  goes  to  sheriayakub.blogspot.comNa  Bashir  Yakub.


Kawaida  wanandoa  wengi  wanapoingia  katika  migogoro  moja  ya  jambo  wanalokimbilia  kama  jawabu  la mgogoro  ni  talaka. 
 Kwa  misingi  ya  ndoa  za  kiislamu  talaka  huruhusiwa tofauti  na  misingi  ya  ndoa  za  kikiristo  ambazo talaka  huwa  haziruhusiwi.   
Hata  hivyo   hata  kama  ndoa  ni  ya  kikristo  ambayo hairuhusu  talaka linapokuja  suala  la  mahakama  basi  hata  ndoa  hizo  nazo ...

 

11 years ago

Michuzi

MABASI YA UDA YANAENDESHWA BILA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

Miaka ya nyuma ilikuwa Tajiri mwenye Basi akitaka kuajiri Dereva Swali la Msingi iliuweze kuajiariwa alikuwa anauliza kama Umewahi kuendesha wapi na wapi Ukitaja UDA kazi unapata haraka sana Tofauti na sasahivi madereva wa uda wamekuwa hawana sifa kwani tunashudia wanavyo endesha hovyo magari hayo Barabarani na hawaheshimu kabisa taratibu za uendeshaji.Ni jana usiku tu tumeona moja ya gari hilo likiwa mtaroni kutokana na uzembe wa madereva hao,sasa na asubuhi ya leo tunaona basi lingine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani