Je Pistorius ataachiliwa huru ?
Kamati maalum ya kutoa msamaha imeanza kukutana mjini Durban kutathmini iwapo Oscar Pistorius anastahili msamaha au la
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Pistorius 'kuachiliwa huru mwezi Agosti'
Mwanariadha mlemavu kutoka Afrika Kusini Oscar Pistorius huenda akaachiliwa huru Agosti tarehe 21
11 years ago
Mwananchi17 May
Pistorius kutumia karata ya ‘uchizi’ kuwa huru?
Jaji anayeendesha kesi ya mwanariadha mlemavu Oscar Pistorius ameamuru Pistorius afanyiwe uchunguzi wa akili kwa muda wa mwezi mmoja, hatua ambayo imetoa nafasi kwa mwanariadha huyo kupumua kwa muda.
9 years ago
Bongo505 Oct
Kesi ya kuamua kama Oscar Pistorius ataachiwa huru kusikilizwa leo
Bodi ya parole jijini Johannesburg, Afrika Kusini ilitarajiwa kutoa uamuzi wa kama itamwachia huru Oscar Pistorius kutoka gerezeni Jumatatu hii. Bodi hiyo ilikutana jijini Durban mwezi uliopita lakini iliahirisha kesi yake kwa wiki mbili. Katika kipindi hicho idara ya haki ilisema haikupata muda wa kumaliza kesi ya Pistorius kutokana na kuwa na mambo ya kuyapitia. […]
11 years ago
Mwananchi01 Jul
HURU: Washtakiwa Kesi ya Tabata Dampo huru
>Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa Ilala, John Lubuva na wenzake wanne waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara, wameibuka kidedea katika kesi hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania