JENNIFER LOPEZ BADO WAMO, ATINGA JUKWAANI NA ‘KINGUO TATA’
![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1crkArbmc9DgL9g-4Cm8MC5SJlNiam-Xcufi4siIhyi3S9OREa8XWNO0ZpM*DfcoFQ5zAvy-oRfH6LbA7YqRm7bq/1jlonew.jpg?width=650)
Mwanamuziki JLO akifanya vitu vyake stejini. Kulia akiwa na dansa wake. ...Msanii huyo mbali na miaka 44 aliyonayo lakini aligonga shoo ya nguvu akiwa na kivazi chake kilichoacha baadhi ya maungo yake nje. STAA wa muziki nchini Marekani, Jennifer Lynn Lopez (44) amedhihirisha kuwa bado wamo baada ya kutinga jukwaani akiwa na 'kivazi tata' na kuangusha bonge la shoo. JLO alitupia kivazi hicho pamoja na… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Jennifer Lopez aanika mwili wake
LOS ANGELES, MAREKANI
NYOTA wa muziki nchini Marekani, Jennifer Lopez ‘J.Lo’, juzi alishangaza mashabiki wake kutokana na vazi lake alilovaa kwenye utoaji wa tuzo za American Music Awards, ambapo vazi hilo lilionesha sehemu kubwa ya makalio yake.
Hata hivyo, msanii huyo alionekana hana wasi wasi na nguo hiyo, ambapo aliwaambia mashabiki wake kwamba, huo ulikuwa ni usiku wake na ndiyo maana aliamua kuwa tofauti na wengine.
Msanii huyo amekuwa hakauki na matukio, japokuwa umri wake umekwenda...
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Video za ngono za Jennifer Lopez kuwekwa hadharani
NEW YORK, MAREKANI
ALIYEWAHI kuwa mume wa msanii nyota nchini Marekani, Jennifer Lopez ‘JLo’, Noa Ojani, amesema anatarajia kuachia video za ngono za mke wake huyo wa zamani.
Video hiyo ilichezwa na wapenzi hao wawili wakati walipokuwa katika uhusiano wa kimapenzi lakini ipo mikononi mwa mwanamume huyo ambaye waliachana miezi 11 tangu kufungwa kwa ndoa yao mwaka 1997.
Pia, Ojani amesema atatoa kopi nyingi za video hiyo ili iweze kusambaa kwa kuwa J. Lo ameshindwa kutimiza
makubaliano yao...
10 years ago
Bongo519 Sep
New Music Video: Jennifer Lopez ft. Iggy Azalea — Booty
10 years ago
GPL19 Sep
10 years ago
Dewji Blog10 May
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
5 years ago
Daily Mail09 Mar
Jennifer Lopez and Alex Rodriguez do the Flip the Switch Challenge in hilarious video
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/WTbvO1Ns6HM/default.jpg)