New Music Video: Jennifer Lopez ft. Iggy Azalea — Booty
Kabla hata hujaanza kuitazama video ukishaona jina la wimbo lenyewe ni ‘Booty’, lazima utaanza kujenga taswira uliyoiona kwenye video ya Nicki Minaj ‘Anaconda’. Katika video hii mpya Jennifer Lopez na Iggy Azalea wamezitumia vizuri ‘assets’ zao katika kukamilisha maana nzima ya wimbo huu. Itazame
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL19 Sep
9 years ago
Bongo517 Oct
Music: Demi Lovato Feat. Iggy Azalea — Kingdom Come
Demi Lovato’s new album Confident arrives today and includes “Kingdom Come,” her collaboration with Iggy Azalea. The song merges soaring pop hooks with trap-influenced 808 percussion, recalling Katy Perry’s “Dark Horse” and Iggy’s own hit “Black Widow.” The Aussie rapstress comes in after the second chorus with a verse playing off the track’s royal theme. […]
10 years ago
Dewji Blog10 May
10 years ago
Bongo514 Oct
Iggy Azalea aongoza nomination za 2014 ‘American Music Awards’, pata orodha kamili
Majina ya wasanii wanaowania tuzo za 2014 ‘American Music Awards’ (AMA) yametangazwa Jumatatu wiki hii, na rapper mzaliwa wa Australia Iggy Azalea ndiye aliyetajwa kuwania vipengele vingi zaidi, anawania vipengele sita. Iggy anawania kipengele cha ‘Msanii bora wa mwaka’ huku akichuana na wakali wengine akiwemo Beyonce, ‘Msanii mpya wa mwaka’, ‘Wimbo bora wa mwaka’, ‘Favorite […]
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/WTbvO1Ns6HM/default.jpg)
10 years ago
Bongo514 Aug
New Video: Iggy Azalea f/ Rita Ora — ‘Black Widow’
Iggy Azalea ameachia video ya wimbo wake ‘Black Widow’ aliomshirikisha Rita Ora. Itazame hapa utaifurahia bila shaka.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania