Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: Iggy Azalea f/ Rita Ora — ‘Black Widow’

Iggy Azalea ameachia video ya wimbo wake ‘Black Widow’ aliomshirikisha Rita Ora. Itazame hapa utaifurahia bila shaka.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Jennifer Lopez ft. Iggy Azalea — Booty

Kabla hata hujaanza kuitazama video ukishaona jina la wimbo lenyewe ni ‘Booty’, lazima utaanza kujenga taswira uliyoiona kwenye video ya Nicki Minaj ‘Anaconda’. Katika video hii mpya Jennifer Lopez na Iggy Azalea wamezitumia vizuri ‘assets’ zao katika kukamilisha maana nzima ya wimbo huu. Itazame

 

10 years ago

Bongo5

Video: Iggy Azalea aanguka jukwaani akitumbuiza ‘Fancy’

Tazama video inayomuonesha rapper Iggy Azalea akianguka jukwaani wakati akitumbuiza wimbo wake ‘Fancy’ Ijumaa ya wiki hii. Hatari!!

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Rita Ora f/ Chris Brown — Body On Me

Video ya wimbo mpya wa Rira Ora ‘Body On Me’ aliomshirikisha Chris Brown. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Hakuna beef: Iggy Azalea ampongeza Nicki Minaj backstage MTV-VMA (video)

Baada ya kuwepo na tetesi za beef kati ya rapper wa kike mzaliwa wa Australia Iggy Azalea na Nicki Minaj, marapper hao Jumapili iliyopita (Agosti 24) walikutana backstage kwenye tuzo za MTV VMA na kuziuwa kabisa tetesi hizo. Baada ya Nicki kuperform single yake mpya ‘Anaconda’ akiwa anajiandaa kuhojiwa na MTV backstage ndipo Iggy alipita […]

 

10 years ago

Bongo5

Iggy Azalea: Nimeibadilisha Hip Hop

Rapper mwenye asili ya nchini Australia, Iggy Azalea, amesema anaamini hadi sasa amefanikiwa kuleta mabadiliko kadhaa kwenye muziki wa hip hop. “Kama nikiwa na career iliyodumu kwa kipindi kifupi, walau naweza kusema nimesababisha tofauti,” anasema rapper wa Australia, Iggy Azalea kwenye mahojiano na jarida la GQ. “Huwezi kujua ni kwa muda gani utakuwa kwenye neema […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani