Hakuna beef: Iggy Azalea ampongeza Nicki Minaj backstage MTV-VMA (video)
Baada ya kuwepo na tetesi za beef kati ya rapper wa kike mzaliwa wa Australia Iggy Azalea na Nicki Minaj, marapper hao Jumapili iliyopita (Agosti 24) walikutana backstage kwenye tuzo za MTV VMA na kuziuwa kabisa tetesi hizo. Baada ya Nicki kuperform single yake mpya ‘Anaconda’ akiwa anajiandaa kuhojiwa na MTV backstage ndipo Iggy alipita […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo504 Jul
Baada ya utata wa BET Awards: Iggy Azalea ajibu alivyochukulia maneno ya Nicki Minaj
Baada ya tuzo za BET 2014, kuliibuka maswali mengi kuhusu kama Nicki Minaj kweli alimdiss rapper mwenzake wa kike Iggy Azalea. Minaj aliamua kuelezea na kuweka mambo sawa kwa kile alichokiongea baada ya kushinda tuzo ya ‘Best Female Hip Hop Artist’. Nicki aliamua kuzungumzia suala hilo kupitia Twitter na kusema vyombo vya habari vinamuwekea maneno […]
11 years ago
Bongo520 Jul
‘Iggy Azalea aliumizwa na maneno ya Nicki Minaj kwenye tuzo za BET’ asema boyfriend wake
Pamoja na rapper mwenye asili ya Australia, Iggy Azalea kudai kuwa hakusumbuliwa na maneno ya Nicki Minaj kwenye tuzo za BET mwishoni mwa mwezi uliopita, mpenzi wake Nick Young anayecheza kikapu na timu ya Los Angeles Lakers, ameliambia New York Daily News kuwa kauli ya Nicki na maneno ya watu mtandaoni, vilimuumiza ‘demu’ wake huyo. […]
10 years ago
Bongo508 Oct
Nicki Minaj adai anaichukua beef ya Meek Mill na Drake
Nicki Minaj amekava jarida la The New York Times na kuzungumzia mada kibao ikiwemo beef katika ya boyfriend wake, Meek Mill na msanii mwenzake wa Young Money, Drake. Nicki anadai kuwa hapendi kuona beef hiyo ikiendelea. “Wote ni wanaume, wanaume waliokua. Ni kati yao,” alisema. “Ninaichukia. Hainifanyi nijisikie vizuri. Hauwezi kamwe kutaka kuchagua upande kati […]
10 years ago
Bongo510 Oct
Taylor Swift aelezea fundisho alilopata kutokana na beef yake na Nicki Minaj
Taylor Swift amekiri kuwa kuna kitu amejifunza kutoka kwenye beef yake na Nicki Minaj. Mwimbaji huyo mwenye miaka 23 alipishana maneno na rapper Nicki Minaj kupitia Twitter miezi kadhaa iliyopita, kutokana na nominations za VMAs japo kuwa walishamaliza tofauti zao. Taylor amesema kitu kikubwa alichojifunza kutoka kwenye beef hiyo ni kuwa, atakuwa akitumia sms kuwasiliana […]
11 years ago
Bongo514 Aug
New Video: Iggy Azalea f/ Rita Ora — ‘Black Widow’
Iggy Azalea ameachia video ya wimbo wake ‘Black Widow’ aliomshirikisha Rita Ora. Itazame hapa utaifurahia bila shaka.
11 years ago
Bongo523 Aug
Video: Iggy Azalea aanguka jukwaani akitumbuiza ‘Fancy’
Tazama video inayomuonesha rapper Iggy Azalea akianguka jukwaani wakati akitumbuiza wimbo wake ‘Fancy’ Ijumaa ya wiki hii. Hatari!!
11 years ago
GPL19 Sep
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania