Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JESHI LA MAGEREZA KUZINDUA "DUTY FREE SHOP" - RUANDA, MBEYA

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ndg. Mbarak Abdulwakil anatarajia kuzindua rasmi Magereza "Duty Free Shop" - Ruanda, Mbeya kesho saa 3:30 asbuhi Februari 12, 2014 katika Viwanja vya Ofisi ya Magereza Mkoa wa Mbeya ambapo shughuli hiyo itashuhudiwa na Viongozi mbalimbali toka Ofisi za Serikali, Binafsi pamoja na Wananchi wanaoishi jirani na maeneo ya Gereza Kuu Ruanda, Mbeya.
Mpango huu wa ujenzi wa Magereza "Duty Free Shops" katika Mikoa ya Kimagereza Kiutawala unatekelezwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AZINDUA HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" MAGEREZA UYUI TABORA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashilia uzinduzi rasmi wa "Duty Free Shop" ya Magereza Mkoani Tabora leo februari 28, 2015. Kamishna Jenerali Minja amesema kuwa Huduma hiyo itatolewa pia kwa Maafisa na Askari wa Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama Mkoani Tabora(kulia) ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Transit Military Shop, Bw. Sadrudin Virji.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kushoto)...

 

10 years ago

GPL

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AZINDUA HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" MAGEREZA UYUI TABORA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kushoto) akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi kuashilia uzinduzi rasmi wa "Duty Free Shop" ya Magereza Mkoani Tabora februari 28, 2015. Kamishna Jenerali Minja amesema kuwa Huduma hiyo itatolewa pia kwa Maafisa na Askari wa Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama Mkoani Tabora(kulia) ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Transit Military Shop, Bw. Sadrudin Virji.… ...

 

9 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" MAGEREZA MKOANI ARUSHA







Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mbarak Abdulwakil(kulia) akikata utepeKatibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mbarak Abdulwakil(kulia)akisoma jiwe la Msingi kwenye hafla ya uzinduzi wa Duty free shop ya Magereza Mkoani Arusha(kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja. Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa maelezo mafupi wakati wa kumkaribisha Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Huduma za Duty free shop ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA "MAGEREZA DUTY FREE SHOP" PAMOJA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MABAKULI YA WAFUNGWA GEREZA UKONGA, JIJINI DAR

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha kutengeneza Bakuli na Vikombe vitakavyokuwa vinatumika na Wafungwa Magerezani kulia chakula(wa kwanza kulia) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(kushoto) akiwaonesha Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Dar es Salaam jiwe la msingi la Jengo la Magereza Duty Free Shop iliyopo Gereza...

 

10 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA APONGEZWA KWA KUFUFUA KIWANDA CHA SABUNI GEREZA KUU RUANDA, MBEYA

Na Lucas Mboje, Mbeya
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja amepongezwa kwa kukifufua Kiwanda cha utengenezaji Sabuni za aina mbalimbali Gereza Kuu Ruanda, Mbeya.
Pongezi hizo zimetolewa na Maofisa na Askari wa Magereza Mkoani Mbeya kutokana na kukiwezesha Kiwanda hicho vifaa na malighafi za utengenezaji sabuni hivyo kukifanya Kiwanda hicho kizalishe sabuni za kutosha kwa Wafungwa waliopo Magerezani Tanzania Bara.
"Tunampongeza sana Kamishna Jenerali Minja hususani kwa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA RASMI HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" GEREZA KUU LILUNGU, MKOANI MTWARA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa hotuba fupi ya uzinduzi wa Magereza "Duty Free Shop" Gereza Kuu Lilungu, Mkoani Mtwara leo Julai 5, 2015 katika Viwanja vya Lilungu, Mkoani Mtwara.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(kulia) akifurahia jambo wakati wakiwa kwenye jiwe la Msingi mara tu baada ya kuzindua rasmi duka hilo lenye bidhaa zisizo na tozo la Kodi(wa pili kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto)...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. MATHIAS CHIKAWE AZINDUA RASMI HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" GEREZA KUU LILUNGU, MKOANI MTWARA

Na, Lucas Mboje, Mtwara
Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza nchini wametakiwa kutumia fursa ya maduka yenye bidhaa nafuu "Duty Free Shop" zilizofunguliwa katika Magereza mbalimbali ili kupata vifaa vya ujenzi na kujenga makazi yaliyobora na ya kudumu kabla ya kustaafu Utumishi wao Jeshini.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe alipokuwa akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Magereza "Duty Free Shop" ya Gereza Kuu Lilungu, Mkoani Mtwara.

Amesema kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA JESHI LA MAGEREZA KOZI NA. 27 CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA ZAFANI, JIJINI MBEYA

Wahitimu wa Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza wakipita kwa mwendo wa haraka mbele ya Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil(hayupo pichani) leo Mei 29, 2015 katika Chuo cha Magereza, Kiwira Kilichopo Mkoani Mbeya.Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil akikagua Gwaride Maalum lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza leo Mei 29, 2015 Chuo cha Magereza Kiwira, Mbeya.Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani