WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA RASMI HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" GEREZA KUU LILUNGU, MKOANI MTWARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-JTnSCFgs6XY/VZkUnHxZk5I/AAAAAAAHnFU/7GD3xzszCZo/s72-c/image.jpeg)
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa hotuba fupi ya uzinduzi wa Magereza "Duty Free Shop" Gereza Kuu Lilungu, Mkoani Mtwara leo Julai 5, 2015 katika Viwanja vya Lilungu, Mkoani Mtwara.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(kulia) akifurahia jambo wakati wakiwa kwenye jiwe la Msingi mara tu baada ya kuzindua rasmi duka hilo lenye bidhaa zisizo na tozo la Kodi(wa pili kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(kushoto)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. MATHIAS CHIKAWE AZINDUA RASMI HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" GEREZA KUU LILUNGU, MKOANI MTWARA
Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza nchini wametakiwa kutumia fursa ya maduka yenye bidhaa nafuu "Duty Free Shop" zilizofunguliwa katika Magereza mbalimbali ili kupata vifaa vya ujenzi na kujenga makazi yaliyobora na ya kudumu kabla ya kustaafu Utumishi wao Jeshini.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe alipokuwa akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Magereza "Duty Free Shop" ya Gereza Kuu Lilungu, Mkoani Mtwara.
Amesema kuwa...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Y-avqceKuLQ/VfxmikdRVDI/AAAAAAAD7uE/ZRZDtqdYJ5U/s72-c/image.jpeg)
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" MAGEREZA MKOANI ARUSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-Y-avqceKuLQ/VfxmikdRVDI/AAAAAAAD7uE/ZRZDtqdYJ5U/s640/image.jpeg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-J84x5Ex68YI/VfxmjNdcaFI/AAAAAAAD7uI/hj-_0h-vU3g/s640/image_1.jpeg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-BGnbXCN5EQg/VfxmjdGNKdI/AAAAAAAD7uM/49-mLstXFp8/s640/image_2.jpeg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-fDyOt12On5Y/U6dKTNkm56I/AAAAAAAFsVg/1-Ddsi_Ddno/s72-c/image_3.jpeg)
WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA "MAGEREZA DUTY FREE SHOP" PAMOJA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MABAKULI YA WAFUNGWA GEREZA UKONGA, JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-fDyOt12On5Y/U6dKTNkm56I/AAAAAAAFsVg/1-Ddsi_Ddno/s1600/image_3.jpeg)
10 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AZINDUA HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" MAGEREZA UYUI TABORA
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA RASMI "REST HOUSE" YA MAGEREZA, MKOANI MOROGORO
10 years ago
GPLKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AZINDUA HUDUMA ZA "DUTY FREE SHOP" MAGEREZA UYUI TABORA
9 years ago
MichuziUJUMBE WA UBALOZI WA CHINA NCHINI WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
9 years ago
MichuziWATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPOKEA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MH. HAMAD MASAUNI
11 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani azindua Kituo cha Polisi Natta,Wilayani Serengeti Mkoani Mara