Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JESHI LA POLISI KANDA MAALUM LAUNDA KAMATI ITAKAYORATIBU KERO ZA WAFANYABIASHARA WA KARIOAKOO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limeuda kamati ya pamoja baina ya wafanyabiashara wa soko la Kariakoo na maafisa wa Jeshi hilo ili kuwa na utaratibu sahihi wa kushughulikia kero za uhalifu miongoni mwa wafanyabiashara wazalendo na wageni zinazojitokeza katika soko hilo. 
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova ametangaza kamati hiyo alipokuwa akijibu hoja na maswali mbalimbali yaliyoulizwa na baadhi ya wafanyabiashara wa sokoni hapo juu ya baadhi ya kero...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM LATOA TAHADHALI KWA WANAWAKE KUTOSHIRIKI KIMAPENZI NA WATU WASIOWAJUA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linatoa tahadhari kwa wanawake wa jiji la Dar es Salaa hususani wasichana kuwa makini na wanaume wanaowataka kimapenzi na baadaye kuwauwa na kutelekeza miili yao.
Zimekuwepo taarifa juu ya kuwepo kwa wanaume wawili wanaoshawishi wanawake kuwa nao kimapenzi na baada ya muda huwauwa. Hivyo natoa tahadhari kwa wanawake wa jiji la Dar es Salaam kuchukua tahadhali juu ya watu hawa maana huatarisha maisha yao au ya familia zao.
Inaaminika watu hao...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM LINATOA TAHADHARI WAKATI WA UCHAGUZI WA MARUDIO, SERIKALI ZA MITAA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linatoa tahadhari kwa wananchi kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa wakati wa zoezi la marudio ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 21/12/2014 katika baadhi ya vituo vya kupigia kura jijini Dar es Salaam.
Awali, uchaguzi huo ulifanyika nchini kote tarehe 14/12/2014 na kulazimika kuahirishwa katika baadhi ya vituo vya kupigia kura kutokana na sababu mbalimbali. Katika mkoa wa Dar es Salaam uchaguzi huo...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR LAWAACHIA HURU MWENYEKITI WA BODI YA TPDC NA KAIMU MKURUGENZI MKUU

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaachia huru Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (Tanzania Petroleum Development Corporation – TPDC) Mh. MICHAEL PETRO MWANDA na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo JAMES ANDILILE kusubiri  ufafanuzi wa Bunge kutokana na tuhuma zinazowakabili. Awali, jana tarehe 03/10/2014 saa tano asubuhi katika ukumbi wa Bunge uliopo jijini Dar es Salaam katika chumba cha mikutano kulikuwa na kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu...

 

11 years ago

Michuzi

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam latimua kazi askari wanne kwa kujihusisha na uhalifu


Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewafukuza kazi askari wake wanne waliodhibitika kujihusisha na matukio ya uhalifu, kwa mujibu wa  Kamanda wa kanda hiyo Kamishna Suleiman Kova (pichani).
Kamanda Kova    amesema leo jijini kuwa hatua hiyo imekuja baada ya uchunguzi wa awali kubaini kuwa askari hao wamekuwa wakijihusisha na vitendo vya uhalifu.  Ameseme vitendo hivyo ni pamoja na tukio la Machi 9, 2014 ambalo lilitokea eneo la Mbezi beachi ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani