Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATUHUMIWA NANE KWA KOSA LA KUPATIKANA NA VIFAA VYA KUVUNJIA

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa nane 1. RASHID KAWAYE [46] Mkazi wa tabora magili, 2. EMMANUEL SIMON [30] Mkazi wa Musoma Serengeti 3. JOHN JAMES [35] Dereva na Mkazi wa Iringa Kihesa 4. LOVENESS EDWARD NJAU [27] Mama Ntilie na Mkazi wa Iringa Masasi 5. ALFRED MASUNGA [58] Mkazi wa Dar-es-Salaam 6. JUMA SONGOLO [53] Mkazi wa Dar-es-Salaam 7. EMANUEL TUMBUKA [35] Mkazi wa Shinyanga na 8. MWIGUNE MWAMBEULE [43] Mkazi wa Msaranyaki Songea kwa tuhuma za kupatikana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LINAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU RAIA WA ETHIOPIA NA MALAWI KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.

 Watu  waliokamatwa kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria  Afisa uhamiaji mkoa wa Dodoma Ally Haji Amil  Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma SACP David Misime.
Habari na Sylvester Onesmo, picha
na Peter Simoni wa Jeshi la Polisi Dodoma. ---------------- Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watu wanne raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria, watu hao walikamatwa kufuatia taarifa ya raia wema waliokuwa wakisafiri nao katika basi hilo. Kamanda wa Polisi...

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA RAIA WANNE WA NCHINI CHINA WAKIWA NA PEMBE 11 ZINAZODHANIWA ZA FARU.





JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU WANNE RAIA WA CHINA WAKIWA NA PEMBE 11 ZINAZODHANIWA ZA FARU. RAIA HAO WALIFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. XIAO SHAODAN (29) AKIWA NA PASSPORT NAMBA G.29624553 ILIYOTOLEWA NCHINI CHINA 2. CHEN JIANLIN (33) AKIWA NA PASSPORT NAMBA E.09800855 ILIYOTOLEWA NCHINI CHINA 3. SONG LEI (30) AKIWA NA PASSPORT NAMBA G.52064944 ILIYOTOLEWA NCHINI CHINA NA 4. HU LIANG (30) WOTE WAKAZI WA BLANTYRE NCHINI MALAWI.


WATUHUMIWA HAO WALIKAMATWA MNAMO TAREHE...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.

MNAMO TAREHE 14.08.2015 MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHADEMA ALIKUJA MKOA WA MBEYA AKIWA AMEANDAMANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA CUF, NCCR – Mageuzi NA NLD KWA DHUMUNI LA KUMTAMBULISHA NA KUOMBA UDHAMINI WA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA KWA NAFASI YA URAIS.


KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA WATUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI, AKIWEMO POLISI

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne akiwemo Askari Polisi mmoja namba G.8695 PC JOHN KAIJAGE [34] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya, FOTUNATUS KAGANDE [23] Mkazi wa Iwambi, PETSON DANIEL [22] Mkazi wa Iwambi na JASTINI KAGANDE [27] Mwanafunzi St.John na Mkazi wa Iwambi kwa tuhuma za kumuua ERASTO MWALWEGO [29] Dereva Pikipiki @ Bodaboda na Mkazi wa Nzovwe.
Ni kwamba mnamo tarehe 20.06.2020 majira ya saa 21:00 Usiku huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “The...

 

11 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU 08 RAIA WA NCHINI KONGO BAADA YA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI .



JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU 08 WOTE RAIA NA WAKAZI WA SANGE – BUKAVU NCHINI KONGO WAKIONGOZWA NA HESABU LUHIGITA (16) BAADA YA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI.  WATUHUMIWA HAO WALIKAMATWA MNAMO TAREHE 12.02.2014 MAJIRA YA SAA 13:00HRS MCHANA HUKO KATIKA KIJIJI CHA IKUMBILO WILAYA YA ILEJE WAKIWA WANASAFIRISHWA KWENYE GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.136 AQC AINA YA FUSO LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA MUSSA DISI (35) NA MATEO KADUMA (30)  WOTE WAKAZI WA ISONGOLE AMBAO PIA...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI AREHE 28.10.2015.

·         JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU 158 KWA MAKOSA YA KUFANYA FUJO, VURUGU NA KUHARIBU MALI WILAYA YA RUNGWE. 

·         JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU 38 KWA KUFANYA VURUGU NA UHARIBIFU WA MALI WILAYA YA MBOZI.


KATIKA TUKIO LA KWANZA:

MNAMO TAREHE 25.10.2015 KUANZIA MAJIRA YA SAA 07:00 ASUBUHI HADI SAA 16:00 JIONI KULIFANYIKA UCHAGUZI MKUU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WABUNGE NA MADIWANI. KATIKA JIMBO LA RUNGWE, NDUGU SAUL H. AMON KWA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani