Jeshi lazingira makao ya kiongozi Nigeria
Kulingana na kundi la Islamic Movement of Nigeria, wanajeshi na vifaru vilitumika kushambulia makaazi ya Ibrahim Zakzaky katika mji wa Zaria, Kaduna.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 Aug
Jeshi lazingira makao ya polisi Lesotho
Ripoti kutoka Taifa la kusini mwa Afrika Lesotho zinasema kuwa jeshi limezingira makao makuu ya polisi .
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Makao ya kiongozi wa upinzani yazungukwa
Kiongozi wa upinzani nchini Sudan Kusini Lam Akol anasema kuwa nyumba yake imezingirwa na vikosi vya usalama
10 years ago
MichuziWASTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA WAAGWA RASMI LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA JIJINI DAR
Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa nasaha fupi katika hafla fupi ya kuwaaga Wastaafu wa Jeshi la Magereza ambao wamestaafu rasmi Utumishi wa Umma tangu Julai 1, 2014. Hafla hiyo imefanyika leo Septemba 19, 2014 Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Dar es Salaam. Wastaafu wa Jeshi la Magereza(katika picha) wakiwa na familia zao wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(hayupo pichani) wakati akitoa nasaha fupi kwa Wastaafu hao ambao wamestaafu...
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KUWATAKA KUBUNI MIRADI MBALIMBALI YA KUONGEZA MAPATO NDANI YA JESHI HILO.
Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,ambaye pia ni Kamishna wa Operesheni, Rogatius Kipali (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, taarifa ya ujenzi la Jengo laa linalotarajiwa kuwa Makao Makuu ya Jeshi hilo, alipotembelea Ofisi za Jeshi hilo zilizoko TAZARA ,jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, akizungumza na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (hawapo pichani),...
10 years ago
MichuziFREEMAN MBOWE AFIKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe Freeman Mbowe akiwasili kwenye makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini,Mapema leo asubuhi tayari kwa kwenda kuhojiwa juu masuala mbalimbali likiwamo la kauli aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho hivi katibuni, kuwa watafanya maandamano nchini nzima bila kikomo. Picha zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
VijimamboWAZIRI WA KATIBA NA SHERIA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kulia) akimkaribisha Ofsini kwake Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha - Rose Migiro alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo februari 17, 2015, Jijini Dar es Salaam.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akiendelea na mazungumzo na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha - Rose Migiro(hayupo pichani) alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI KUANZA KUTUMIA JENGO LA MAKAO MAKUU DODOMA MWISHO WA MWEZI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, ametembelea na kukagua maendeleo na marekebisho ya jengo ambalo lilikabidhiwa kwa Jeshi la Polisi na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli,.Katika ukaguzi huo, IGP Sirro, ameelekeza kukamilishwa kwa ghorofa ya pili na ya tatu ambayo inakisiwa kugharimu kati ya shilingi milioni 150 hadi milioni 200 tayari kwa matumizi ya maafisa na askari ambao wanatarajiwa kuwasili jijini Dodoma mwishoni mwa mwezi huu. IGP Sirro...
5 years ago
CCM Blog10 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CHADEMA,FREEMAN MBOWE AFIKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI KWA MAHOJIANO LEO
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe akiwasili kwenye makao makuu ya Jeshi la Polisi nchini,Mapema leo asubuhi tayari kwa kwenda kuhojiwa juu kauli aliyoitoa kwenye Mkutano Mkuu wa chama hicho hivi katibuni,kuwa watafanya maandamano nchini nzima bila kikomo. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari waliokuwepo kwenye eneo la makao makuu ya Jeshi la Polisi,juu ya kile kilichokuwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania