Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JESHI NCHINI KENYA LATOA MAJINA YA WAHUSIKA KATIKA SHAMBULIO LA KIGAIDI LA MANDERA

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Gedion M Kimilu. JESHI la Polisi nchini Kenya leo limetoa majina ya watuhumiwa wawili wanaosakwa kwa kuhusika katika shambulio la kigaidi la Mandera ambao ni Mohamed Mohamud aka Dulyadin aka Gamadheere kutoka Garissa na Ahmed Iman kutoka Majengo jijini Nairobi. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi nchini Kenya leo. Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

11 wauawa katika shambulio Mandera,Kenya

Watu 11 wameuawa katika shambulio jijini Mandera kaskazini mashariki mwa Kenya. shambulio hilo liliwalenga wageni katika eneo hilo

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulio la kigaidi laua nchini Kenya

Watu wenye silaha wameshambulia mji wa Wajir kaskazini mwa Kenya na kuua mtu mooja na wengine wanne wamejeruhiwa

 

5 years ago

BBCSwahili

Ubalozi wa Marekani waonya dhidi ya shambulio la kigaidi katika hoteli moja Nairobi Kenya

Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa onyo kwamba magaidi huenda wakashambulia hoteli moja kubwa nchini Nairobi.

 

10 years ago

GPL

KENYA YAADHIMISHA MWAKA 1 WA SHAMBULIO LA KIGAIDI

Baadhi ya majeruhi wakitolewa eneo la maduka ya Westgate baada ya shambulio hilo. WANANCHI wa Kenya leo wanaadhimisha mwaka mmoja tangu shambulizi la kigaidi katika maduka ya Westgate ambapo takriban watu 67 walipoteza maisha wakiwemo washukiwa wanne wa shambulio hilo.
Shambulio hilo…

 

10 years ago

GPL

SHAMBULIO LA KIGAIDI LAUA 2 NA KUJERUHI 30 KENYA

WATU wawili wamepoteza maisha huku takribani 30 wakijeruhiwa baada ya watu wapatao watano wanaodaiwa kufunika nyuso zao kushambulia Chuo Kikuu cha Garrissa kilichopo Kaskazini mashariki mwa Kenya. Shambulio hilo linadaiwa kufanyika mapema leo wakati waumini wa dini ya Kiislamu wakiwa katika sala yao ya alfajiri. Watu walioshuhudia tukio hilo wameeleza kuwa kuna majeruhi wengi ndani ya chuo hicho. Wapiganaji hao wanadaiwa kuwa...

 

11 years ago

GPL

30 WAUAWA KATIKA SHAMBULIO NCHINI KENYA

Daladala zilizochomwa moto wakati wa shambulio hilo la Mpeketoni, Lamu nchini Kenya.
Magari yaliyochomwa moto katika kituo cha polisi cha Mpeketoni. WATU zaidi ya 30 wameuawa, hoteli mbili, kituo cha polisi na kituo cha mafuta…

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Kenya lafanya shambulio Somalia

Jeshi la Kenya limeshambulia maeneo mawili ya jimbo la Gedo nchini Somalia,ambalo ni makao ya wapiganaji wa kundi la Alshabaab

 

10 years ago

BBCSwahili

Waliofanya shambulio la Mandera wasakwa

Wanajeshi na polisi wa Kenya wanawasaka al-Shabaab waliouwa abiria 28 katika basi karibu na Mandera, mji ulio karibu na Somalia

 

9 years ago

BBCSwahili

Tunisia yatibua shambulio la kigaidi

Mamlaka nchini Tunisia imesema kuwa imewakamata wapiganaji 16 na kutibua shambulio ambalo huenda lingekuwa kubwa kuwahi kutokea mwezi huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani