Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jifahamishe Olimpiki majira ya baridi

Zaidi ya wanajeshi alfu 40 wametumwa kushika doria wakati wa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi mjini Sochi Urusi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wanamichezo wanavyonufaika na Olimpiki ya majira ya baridi

Moja kati ya michezo ambayo inavutia kuitazama katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ni michezo ya kuteleza kwenye barafu. Michezo hii ya kuteleza inahitaji sayansi ya hali ya juu na wanamichezo wanaoicheza huwa na vipaji vya aina yake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Beijing kuandaa Olimpiki ya baridi 2022

Mji mkuu wa China Beijing ndio utakaokuwa mwenyeji wa mashindano ya olimpiki ya msimu wa baridi ya mwaka wa 2022.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mtaalamu wa chanjo 'aliyefutwa kazi' asema Marekani itakabiliwa na hali mbaya zaidi katika majira ya baridi

Afisa wa zamani wa ngazi ya juu wa afya nchini Marekani ameliambia bunge la kongresi kuwa nchi inaweza kukabiliwa na "kipindi kibaya zaidi cha majira ya baridi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya hivi karibuni " kwa sababu ya virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jifahamishe kwa nini ni vigumu kutibu magonjwa ya virusi ikilinganishwa na yale ya bakteria

Tunapokutwa na kikohozi , pua inayotoka makamasi, joto mwilini, na maumivu ya misuli, hutembelea katika kituo cha afya ili kupata tiba ya haraka.

 

10 years ago

Michuzi

NAPE ATEMBELEA MAJIRA LEO

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kulia) akizungumza na uongozi wa Kampuni ya Bussines Times, Wachapichaji wa Magazeti ya Majira, Bussines Times na Sports Starehe, akiwa katika mwendelezo wa ziara ya vyombo vya habari aliyoaianza wiki iliyopita mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Mtahiriri wa Majira Eckland Mwaffisi na Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Imma Mbuguni.  Nape akimsalimia Meneja Uhusiano wa Bussines Times Ltd, Julieth Lamosai, baada ya kutambulishwa kwake na...

 

11 years ago

Mwananchi

Dondoo za uvaaji majira ya joto

Kwa kawaida uvaaji wa mavazi hutegemea hali ya hewa au majira ya husika ya mwaka. Ni muhimu kuzingatia majira ili kuepuka shida au kukosa raha kwa kuchagua vazi lisilo sahihi.

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE ATEMBELEA GAZETI LA MAJIRA



 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kushotia), akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Business Times, Imma Mbuguni, alipowasili katika Ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam,  akiwa katika mwendelezo wa ziara ya vyombo vya habari aliyoaianza wiki iliyopita .
 Nape akimsalimia Meneja Uhusiano wa Business Times Ltd, Julieth Lamosai, baada ya kutambulishwa kwake na Mbunguni wakati wa ziara hiyo
 Nape akienda na Mbunguni kwenye ukumbi kwa ajili ya mazungumzo
 nape...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Dewji Blog

Mikutano ya Majira Kipupwe imeanza rasmi Mjini Washington DC

 

DSC_5014

Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier,  akipata maelezo kutoka kwa Bw. Said Ngosha Magonya, ambaye ni  Kamishina wa Fedha za Nje kuhusu utaratibu uliopangwa na Tanzania katika Mikutano hii ya majira ya kipupwe.

Mikutano ya majira ya  Kipupwe imeanza rasmi tarehe 14/4/2015 na kuhudhuriwa na nchi mbalimbali wanachama zaidi ya 188. Mikutano hii huudhuriwa na maelfu ya wafanyakazi kutoka serikalini, waandishi wa habari, Mashirika na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani