Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dondoo za uvaaji majira ya joto

Kwa kawaida uvaaji wa mavazi hutegemea hali ya hewa au majira ya husika ya mwaka. Ni muhimu kuzingatia majira ili kuepuka shida au kukosa raha kwa kuchagua vazi lisilo sahihi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Dondoo za uvaaji kwa wenye maumbo makubwa

Kuwa na umbo kubwa ni miongoni mwa sifa za mwanamke wa Kiafrika. Pamoja na kuwa na asili hiyo mara nyingi wanawake wenye maumbo ya aina hii wamekuwa wakipata wakati mgumu sana katika kutafuta mavazi yanayoendana na maumbo yao.

 

10 years ago

Vijimambo

5 years ago

CCM Blog

MADHARA YA UVAAJI VIATU VIREFU KWA WANAWAKE

NI wazi kuwa viatu virefu huvutia sana vinapo kuwa vimevaliwa.Tulio wengi hasa mabinti au wanawake tunaokwenda na wakati hupenda kuvaa viatu virefu ilikuongeza muonekano wa umbile lako nikiwa na maana kuwa miguu huonekana yenye kuvutia zaidi unapo kuwa umevaa viatu virefu.

Kutokana na utafiti wa kitaalamu, mwanamke ana uwezo wa kutembea wastani wa hatua 10,000 kwa siku.Visigino virefu hufanya nguvu inayotumika kutembea hatua moja kuwa kubwa kuliko kawaida, huku vikikunyima raha ya kutembea...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS OBAMA ASIFU UVAAJI WA FULANA YA I CAN'T BREATHE ALIYOVAA MCHEZAJI WA KIKAKPU LEBRON JAMES

LeBron ObamaRais wa Marekani Mhe. Barack Obama amesifia uvaaji wa fulana wa mchezaji wa mpira wa kikapu Lebron James wakati alipokua akifanyiwa mahojiano na gazeti la the people magazine. Rais Barack Obama alipouliwa swali hilo nini mtizamo wake alisema nadhani ni jambo zuri kwa mchezaji huyo na wengine waliopaza sauti zao kuwakilisha mawazo yao kwa mambo yaliyotokea ya kuuwawa kwa Wamarekani weusi na polisi huko Ferguson jimbo la Missouri na Brooklyn New York na baadae mahakama kuwaachia huru polisi...

 

5 years ago

Michuzi

NBC WAMPONGEZA KOPLO TWAIBU KWA KUTOA ELIMU YA UVAAJI BARAKOA KATIKA DALADALA

BENKI ya Kibiashara ya  NBC imetambua juhudi mahususi za Jeshi la Polisi Tanzania na maofisa wake katika  kipindi chote cha mlipuko wa homa kali inayosababishwa na virusi vya Covid-19 maarufu kama corona. 
Katika matukio mbali mbali ya kipekee, maofisa kwa Jeshi la Polisi Tanzania wameonyesha  hekima ya hali ya juu na dhamira ya kuwatumikia, kuwalinda na kuhakikisha Watanzania  wanatekeleza maelekezo ya wataalam ya jinsi ya kupambana na ugonjwa wa corona. 
Aidha, benki hiyo ikishirikiana na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Jifahamishe Olimpiki majira ya baridi

Zaidi ya wanajeshi alfu 40 wametumwa kushika doria wakati wa michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi mjini Sochi Urusi.

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE ATEMBELEA GAZETI LA MAJIRA



 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kushotia), akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Business Times, Imma Mbuguni, alipowasili katika Ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam,  akiwa katika mwendelezo wa ziara ya vyombo vya habari aliyoaianza wiki iliyopita .
 Nape akimsalimia Meneja Uhusiano wa Business Times Ltd, Julieth Lamosai, baada ya kutambulishwa kwake na Mbunguni wakati wa ziara hiyo
 Nape akienda na Mbunguni kwenye ukumbi kwa ajili ya mazungumzo
 nape...

 

10 years ago

Michuzi

NAPE ATEMBELEA MAJIRA LEO

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kulia) akizungumza na uongozi wa Kampuni ya Bussines Times, Wachapichaji wa Magazeti ya Majira, Bussines Times na Sports Starehe, akiwa katika mwendelezo wa ziara ya vyombo vya habari aliyoaianza wiki iliyopita mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Mtahiriri wa Majira Eckland Mwaffisi na Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Imma Mbuguni.  Nape akimsalimia Meneja Uhusiano wa Bussines Times Ltd, Julieth Lamosai, baada ya kutambulishwa kwake na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanamichezo wanavyonufaika na Olimpiki ya majira ya baridi

Moja kati ya michezo ambayo inavutia kuitazama katika michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ni michezo ya kuteleza kwenye barafu. Michezo hii ya kuteleza inahitaji sayansi ya hali ya juu na wanamichezo wanaoicheza huwa na vipaji vya aina yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani