Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JINA LA WAZIRI MKUU LATAJWA BUNGENI

Mhe. Kassim Majaliwa mbunge wa jimbo la Ruangwa jina lake limependekezwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ambapo atapigiwa kura na wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

LIVE KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO: WABUNGE WALIPIGIA KURA JINA LA WAZIRI MKUU MKUU MTEULE

Baadhi ya Maafisa wa Bunge wakiwa tayari kwa Zoezi la kupiga kura, wabunge kumthibitisha Waziri Mkuu aliyependekezwa na Rais Dk. John Magufuli, Mhe. Kassim Majaliwa, linaloendelea hivi sasa Bungeni Mjini Dodoma.Zoezi la kupiga kura likiendelea kwa Wabunge Mjini Dodoma.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli apeleka jina la Waziri Mkuu bungeni

SAM_2397NA MWANDISHI WETU, DODOMA

RAIS Dk. John Magufuli amewasili mjini Dodoma jana, huku akiwa na siri nzito ya jina la Waziri Mkuu ambalo anatarajia kuliwasilisha bungeni kesho.

Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya Bunge iliyotolewa wiki iliyopita, jina la Waziri Mkuu litawasilishwa kesho na Rais Magufuli kwa Spika Job Ndugai.

Baada ya kuwasilisha jina hilo, litasomwa mbele ya wabunge wote na kuthibitishwa, kisha watapiga kura ya kumchagua.

Baada ya kuthibitishwa kwa Waziri Mkuu, siku hiyo hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

9 years ago

Michuzi

JINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO


 Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa  na  Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge,  Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akimkabidhi Spika Job Ndugai bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa  na  Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Spika Job Ndugai akiinua bahasha kabla ya kusoma...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ALIPOKUWA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WAA FEDHA NA MIPANGO DKT MANGO BUNGENI



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 30, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

5 years ago

Michuzi

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Sikonnge, Joseph Kakunda (kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum, Felista Bura, (wapili kushoto) nje ya Jengo la Utawala, Bungeni jijini Dodoma, May 15, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

5 years ago

CCM Blog

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje, Bungeni jijini Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR- MAGEUZI, James  Mbatia, Bungeni jijini Dodoma, Juni 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

5 years ago

CCM Blog

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mvomero,  Suleiman Ahmed Saddiq kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa  Kiembesamaki, Ibrahim Raza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Amina Mabrouk kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani