JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS TUMA NENO GLOBAL KWENDA 15778
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGZL7CIpLfRs0S*xYqolCdU0fNcAuaU9HOB5m2H*6q4ZnAGpFR4bzJ33kQCwteH3UlJ97jWmuyxS*rQ38sPLwwec/10303947_791575564208650_3045875208815360971_n.jpg?width=650)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d0ZYLeh9an1zS8uMDKgftiZIiDEClHqukplmoZUQodFW8QuHb6LEQ3FkWJnzOivSaw-ZZIC8VODL25VoKETQop9/GPL.jpg?width=650)
JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS
JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS SASA KWA SHILINGI 100 TU KWA SIKU: KUJIUNGA TUMA GLOBAL KWENDA 15778. HUDUMA HII NI KWA WATUMIAJI WA VODACOM TU!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl958AHp*NRxkGsV1Z0D*1bU1eKIREFw-652385AIE0IHBUKcQkOSwPMlypweHTcNH5lcPqu0G2SGVPSdI7T0q65/1GPLBREAKINGNEWS.jpg?width=650)
JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS SASA!
Kuwa wa kwanza kupata Breaking News za wasanii, watu maarufu na zingine kutoka Magazeti Pendwa ya IJUMAA WIKIENDA, UWAZI, RISASI, AMANI, IJUMAA na CHAMPIONI moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kwa shilingi 100 tu kwa SIKU! Kujiunga tuma GLOBAL kwenda 15778
Huduma hii ni kwa watumiaji wa Vodacom pekee. Kwa maelezo zaidi…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XK5BrsN2RVfg38TTwtsdli8CclrN3UKW2*JXHTWiK7DB3Gi21dXH-ERcY4XSgM27QhwuwdK1Tdb8tu7VYFqfw364cCAeus8H/vodacomglobalbreaking.jpg?width=650)
BONANZA LA GLOBAL BREAKING NEWS 15778 KURINDIMA MWEZI UJAO
Na Lucy Mgina
WAPENZI wa michezo na muziki wa Bongo Fleva wameandaliwa bonanza maalumu na kubwa la Global Breaking News 15778 ambalo kilele chake kitafanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar. Bonanza hilo litafanyika Februari 9, mwaka huu ambapo mwezi huu litakuwa la kipekee na tofauti kwani litaitambulisha huduma ya Global Breaking News inayotolewa na Kampuni ya Global Publishers. Meneja wa Global, Abdallah...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2JhbD7Xpqxlx28IGs4diNde-iO-zXWYkEcZ4fP0RqeEj4PMJkYoVXUou2u09RoUtksOy4ZYmUR0v3BxKsZ75VaJ/vodacomglobalbreaking.jpg?width=650)
BONANZA LA GLOBAL BREAKING NEWS 15778 WASANII KIBAO KULIPAMBA
Na Lucy Mgina
WAPENZI wa michezo na Muziki wa Bongo Fleva, wameandaliwa bonanza maalumu na kubwa la Global Breaking News 15778 ambalo kilele chake kitafanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar. Bonanza hilo ambalo hufanyika kila mwisho wa mwezi kwenye viwanja vya Dar Live, safari hii litafanyika Februari 9, mwaka huu ambapo mwezi huu litakuwa la kipekee na tofauti kwani litaitambulisha huduma ya Global...
11 years ago
GPL11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/G4QhErsz3t-lDkDxPIoghNzSx94oj6NlZwYltkcfo4RY0PTB5VSdA6YyNaDlmAxIlIMx0OyPr9PqtgLlw0zqPN8LKGpNImNz/msondo22.jpg?width=650)
MSONDO, H. BABA KUPAMBA BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS 15778 DAR LIVE
BENDI ya muziki wa dansi ya Msondo, wasanii nyota wa Bongo Fleva, H. Baba, Nay wa Mitego na Stamina wanatarajia kulipamba Bonanza la Jogging la Global Breaking News 15778 litakalofanyika katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar, Februari 9 mwaka huu. Mratibu wa Bonanza hilo, Rajabu Mteta (KP) ameiambia Mikito Nusunusu kuwa kabla ya wasanii hao kupanda jukwaani kuanzia asubuhi hadi jioni, kutakuwa na jogging...
11 years ago
GPLBONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS LAANZA
LILE Bonanza kubwa la Jogging na Global Breaking News 15778 tayari limeanza na vikundi mbalimbali vya jogging jijini Dar vinaelekea Uwanja wa Taifa ili kuanza mbio za jogging zitakazoishia Dar Live, Mbagala!
11 years ago
GPLBONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS FULL BURUDANI
'Nyomi' ya watu waliofurika kwenye Ukumbi wa burudani wa Dar Live wakati wa Bonanza la Jogging & Global Breaking News. Wachezaji wa netiboli wa timu ya Ndiyo Sisi (wenye jezi za kijani), wakiwania mpira mbele ya mchezaji wa Barack, katika Bonanza…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania