Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK alipofanya ziara mkoani tanga

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA MKOANI TANGA


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Handeni ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Abdala Kigoda wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu ,Mkata wilaya ya Handeni mkoani Tanga.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia ngoma ya asili ya Kizigua
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimia wakazi wa Mkata wilayani Handeni waliojitokeza kwenye mapokezi ya katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

JK KATIKA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya...

 

11 years ago

Michuzi

JK AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji Bibi Rukia Bakari muda mfupi baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Kwemhosi wilayani Muheza Mkoa wa Tanga leo.Mradi huo utavinufaisha vijiji vinane katika wilaya hiyo yenye uhaba mkubwa wa maji  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kufungua na kukagua bidhaa Soko la Vyakula Michungwani wiyani Muheza leo.  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua na kuzungumza na wafanyabiashara...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Mahenge aendelea na ziara mkoani Tanga

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (wa pili kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Bandari ya Tanga Bw. Fred Liundi (kushoto) pamoja na viongozi wa Mkoa wa Tanga wakielekea kupanda Boti kwenda kuangalia kisiwa cha Toten ambacho kiko hatarini kuzama.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe.Dkt.Injinia Binilith Satano Mahenge (kulia), akikagua Kisiwa cha Toten kilichopo mkoani Tanga.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA KATIKA WILAYA YA KILINDI MKOANI TANGA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Kwediboma wakati wa mapokezi .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaslimia wakazi wa Kwediboma wilaya ya Kilindi mkoani Tanga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Kwediboma wakati wa kushiriki kujenga msingi wa kituo cha afya cha Kwediboma.
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kutandaza mawe kwenye msingi wa kituo cha afya Kwediboma.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete katika ziara ya kikazi Mkoani Tanga

unnamed (66)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Pikipiki mmoja wa maafisa watendaji kata Wilaya ya Kilindi Bi.Elizabeth Mwita muda mfupi kabla ya Rais Kuhutubia Mkutano wa hadhara mjini Songe Kilindi. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Tanga.

unnamed (67)

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kombe katibu wa TFF Wilaya ya Kilindi Bwana Omari Javu wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songe Kilindi jana.Kombe hilo lijulikanalo kama Kikwete cup litashindaniwa katika ligi ya wilaya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KUANZA ZIARA MKOANI TANGA KESHO


MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo leo ambao hawapo pichani kuhusu ziara maalumu ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa itakayoanza kesho Jumatatu

MKUU wa Mkua wa Tanga Martine Shigella akizungumza na waandishi wa
habari mkoani humo kuhusu ziara maalumu ya Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa itakayoanza kesho Jumatatu mkoani hapa


WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwasili jijini Tanga kesho June Mosi Mwaka huu kwa ziara maalum ya kutembelea na...

 

5 years ago

CCM Blog

ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA WILAYANI PANGANI MKOANI TANGA, LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Bomani Pangani akiwa katika ziara ya lkikazi mkoa wa Tanga, lleo, Machi 6, 2020. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu. PICHA ZAIDI >>>BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWASILI MKOANI TANGA KWA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Chiku Gwao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani