Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK AONGEA NA WANANCHI WILAYANI MUHEZA, AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA TANGA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa hadhara mjini Muheza jana jioni. Rais Kikwete anatarajia kuhitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga leo. Picha na Freddy Maro. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Hassan Mustafa(13) mwenye tatizo la kudumaa muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukagua na kuzindua maabara katika shule ya sekondari ya Potwe, wilayani Muheza 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mh. Samia Suluhu aendelea na ziara ya kukagua shughuli za utunzaji wa mazingira wilayani Muheza, Tanga

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan akiweka saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika kijiji cha UWAMAKIZI alikoenda kwenye ziara ya kukagua shughuli za utunzaji wa mazingira katika kijiji cha Bombani kilichopo wilayani Muheza mkoani Tanga. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano Mh. Samia Suluhu Hassan akiongea na baadhi ya wanakijiji wa kijiji cha Bombani wilayani Muheza mkoani Tanga alipotembelea kijijini hapo katika maadhimisho ya...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAZINDUA TAWI JIPYA WILAYANI MUHEZA, TANGA

Mashabiki wa Yanga wakiwa katika uzinduzi wa tawi lao wilayani Muheza, Tanga.…

 

10 years ago

Michuzi

PROFESA MWANDOSYA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI SUDAN

Kabla ya kuhitimisha ziara yake nchini Sudan,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa MArk Mwandosya alipata nafasi ya kuwa na mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Sudan,Mheshimiwa Ali Osman Mohammed Taha;kutembelea nyumba ya makumbusho ya Sudan;na kutembelea jengo la kumbukumbu la shujaa wa Sudan,al Mahdi. Waziri Mwandosya,kushoto,akimkabidhi Mheshimiwa Ali Osman Mohammed Taha,Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu,zawadi ya kinyago kutoka Tanzania.
Walio mstari...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Biharamulo mjini ikiwa siku ya mwisho ya ziara ya siku 10 mkoani Kagera ambapo alizungumzia changamoto mbali mbali zikiwemo za Bei ya Kahawa, Leseni za Bisahara na Boda Boda, Urahisishwaji wa Biashara mipakani , Katibu Mkuu aliwataka wananchi wa Biharamulo kuacha siasa za kishabiki badala yake kuchagua viongozi wanaofaa na watakaoleta maendeleo.
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi ahitimisha Ziara ya kikazi ya siku mbili kukagua mradi wa bomba la gesi aasilia

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO  Serikali imesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirishia gesi asilia kutoka Mtwara hadi Dar es salaam unaenda vizuri kulingana na ratiba yake na utakamilika kwa wakati.  Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembelea kituo cha kufua umeme kwa kutumia gesi asilia kinachojengwa Kinyerezi wakati akihitimisha ziara yake ya siku mbili ya kukagua mradi wa ujenzi wa bomba la gesi jijini Dar es salaam.  Balozi Sefue alisema...

 

10 years ago

Michuzi

WZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYANI MPANDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na viongozi wa mkoa wa Katavi kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya ziara yake ya jimbo la uchaguzi Januari 9, 2015. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Pazi Mwamlima, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Mhandisi Emmanuel Kalobelo na Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Kanali Ngemera Lugunga.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia msokoto wa rasta isiyokuwa ya kawaida aliosuka Bwana huyo, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa shule ya ufundi ya Mamba wilayani...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYANI MPANDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na viongozi wa mkoa wa Katavi kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya ziara yake ya jimbo la uchaguzi. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Pazi Mwamlima, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Mhandisi Emmanuel Kalobelo na Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Kanali Ngemera Lugunga. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia msokoto wa rasta… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani