Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROFESA MWANDOSYA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI SUDAN

Kabla ya kuhitimisha ziara yake nchini Sudan,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa MArk Mwandosya alipata nafasi ya kuwa na mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Sudan,Mheshimiwa Ali Osman Mohammed Taha;kutembelea nyumba ya makumbusho ya Sudan;na kutembelea jengo la kumbukumbu la shujaa wa Sudan,al Mahdi. Waziri Mwandosya,kushoto,akimkabidhi Mheshimiwa Ali Osman Mohammed Taha,Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu,zawadi ya kinyago kutoka Tanzania.
Walio mstari...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Profesa Mwandosya ahitimisha ziara yake ya siku sita nchini Ethiopia kwa kukagua ujenzi wa Ofisi za Bonde la Mto Abay - White Nile

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya leo amemaliza ziara yake ya siku sita nchini Ethiopia kwa kukagua ujenzi wa Ofisi za Bonde la Mto Abay (White Nile),kutembelea chanzo cha Mto Abay,na kutembelea maporomoko maarufu ya Mto Abay (White Nile). Waziri Mwandosya,kushoto,akiwa na Mhaidrolijia Mengistu,Mkurugenzi Mkuu wa Bone la Mto Abay baada ya kukagua kazi zinazoendelea za ujenzi wa Makao Makuu ya Bonde mjini Bahar Dar, Amhara.Waziri Mwandosya kwenye mti uliopandwa...

 

10 years ago

Michuzi

ziara ya kikazi ya profesa mark mwandosya zanzibar

Kwa mwaliko wa Waziri wa Ardhi, Makaazi,Maji na Nishati wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mheshimiwa Ramadhan Abdallah Shaaban, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Mark Mwandosya ametembeleaZanzibar kwa ziara ya kikazi. Pamoja na mambo mengine,Waziri Mwandosya amefungua rasmi Mradi wa maji wa Sebleni-Muungano-Sogea,SEMUSO. Tanki la maji la Mradi wa Maji wa SEMUSO lililo Kibandamaiti,Zanzibai,Mradi uliozinduliwa na Waziri Mwandosya.Waziri Mwandosya amepata nafasi ya kuhudhuria na...

 

11 years ago

Michuzi

ziara ya Profesa Mwandosya nchini Burundi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)  Profesa Mark Mwandosya,wa pili kulia, amekuwa na mazungumzo na Waziri wa Mawasiliano ya Simu,Habari,na Uhusiano na Bunge,wa Burundi,Mhe.Tharcisse Nkezabahizi,watatu kulia, na Francois Sigejeje,Katibu Mkuu wa Wizara yake,wa nne kulia.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Prof. Mark k Mwandosya ,wa tano kushoto ametembelea Mamlaka ya Maji na Umeme ya Burundi(REGIDESO) mjini Bujumbura.Pamoja naye ni Liberat Mfumukiko,wa sita kushoto.Wengine...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA YAKE ALGERIA, AREJEA NCHINI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanda ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene jijini Algiers Jumatatu ya Mei 11, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga wenyeji wake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Houari Boumediene jijini Algiers Jumatatu Mei 11, 2015 baada ya kuhitimisha ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI JAPAN

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na ujumbe wake wakizungumza na Viongozi wa kampuni ya Japan ya kuengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu ya NEC ambayo inashirikiana na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika suala la ufundi na vifaa, wakati alipotembelea Ofisi za Kampuni hiyo jijini Tokyo Machi 18, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya NEC Kaono Yono.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya kutengeneza vifaa vya mawasiliano ya simu, Kaono...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA NAMIBIA AMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI YA SIKU MBILI NCHINI




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Rais wa Namibia ambaye amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini leo Oktoba 12, 2015 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  jijini Dar es salaam.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata  Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini  wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

JK AONGEA NA WANANCHI WILAYANI MUHEZA, AHITIMISHA ZIARA YA KIKAZI MKOA WA TANGA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Mkutano wa hadhara mjini Muheza jana jioni. Rais Kikwete anatarajia kuhitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Tanga leo. Picha na Freddy Maro. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mtoto Hassan Mustafa(13) mwenye tatizo la kudumaa muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukagua na kuzindua maabara katika shule ya sekondari ya Potwe, wilayani Muheza 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani