JK arejea nyumbani baada ya ziara ya Uingereza na Ubelgiji

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki baada ya kuwasili leo April 4, 2014 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Brussels, Ubelgiji, alikofanya ziara ya kikazi ya siku mbili na kuhudhuria mkutano wa mataifa ya Afrika na nchi za Jumuiya ya Ulaya. Kabla ya hapo Rais Kikwete alifanya zaiara ya kiserikali ya siku tatu nchini Uingereza kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe David Camaron. PICHA NA IKULU
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
JK AREJEA NYUMBANI BAADA YA ZIARA RASMI YA KISERIKALI NCHINI AUSTRALIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa Jumamosi Agosti 1, 2015 akitokea Australia alikozuru kwa mwaliko rasmi wa Kiserikali kutoka kwa Gavana Mkuu wa nchi hiyo Mheshimiwa Peter Cosgrove.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi katika uwanja wa ndege wa...
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Rais Kikwete arejea nyumbani baada ya ziara rasmi ya kiserikali nchini Australia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa Jumamosi Agosti 1, 2015 mara baada ya kurejea kutoka Australia kwa mwaliko rasmi wa Kiserikali kutoka kwa Gavana Mkuu wa nchi hiyo Mheshimiwa Peter Cosgrove.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege...
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI USIKU HUU BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YA KIKAZI YA USWISI


Akiwa mjini Geneva, Rais Kikwete ameongoza vikao vya Jopo la Kimataifa...
10 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI BAADA YA ZIARA YA SIKU MOJA NCHINI RWANDA LEO

Wakati akiwa Kigali, miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete ameudhuria mkutano wa tisa wa wakuu wa nchi kujadili...
10 years ago
GPLBAADA YA KULA BATA NA BENZEMA RIHANNA AREJEA NYUMBANI!
10 years ago
Michuzi
RAIS KIKWETE AHITIMISHA ZIARA RASMI YA ALGERIA, AREJEA NYUMBANI



10 years ago
GPL
PIERRE NKURUNZIZA AREJEA NYUMBANI
10 years ago
BBCSwahili15 May
Rais Pierre Nkurunziza arejea nyumbani
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Askofu Tutu hatimaye arejea nyumbani