JK ASHEREHEKEA MWAKA MPYA KIJIJINI MSOGA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi kwa kumuandalia hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomba dua pamoja na Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi wakati wa hafla ya kumuombea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE ASHEREHEKEA MWAKA MPYA KIJIJINI MSOGA
10 years ago
Dewji Blog02 Jan
Rais Kikwete asheherekea mwaka mpya kijijini Msoga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakijumuika na wananchi katika kuukaribisha mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiomba dua pamoja na Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi wakati wa hafla ya kumuombea dua katika mkesha wa mwaka mpya kijijini Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa neno la shukurani kwa Mashekhe wa Bagamoyo na wananchi kwa kumuandalia hafla ya...
9 years ago
MichuziRais Kikwete apiga kura Kijijini Kwake Msoga.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandika kura yake ya siri.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo leo.
MKE WA...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aondoka rasmi Ikulu na kuelekea kijijini Msoga
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati wakiondoka rasmi katika jumba hilo waliloishi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita na kurudi kijijini Msoga. kushoto kwake ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati akiondoka rasmi katika jumba hilo...
9 years ago
GPLRAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONDOKA RASMI IKULU NA KUELEKEA KIJIJINI MSOGA LEO
10 years ago
MichuziMBUNGE WA CHALINZE RIDHIWANI KIKWETE AKARIBISHWA RASMI NA WAZEE WA KIJIJINI MSOGA KWA SHEREHE ZA JADI
9 years ago
MichuziNEWS ALERT: RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONDOKA RASMI IKULU NA KUELEKEA KIJIJINI MSOGA LEO
10 years ago
MichuziJK ajiandikisha Kupiga kura kwa kutumia BVR kijijini Msoga leo, ZAIDI YA WATU MILIONI 11 WAJIANDIKISHA NCHINI