Jk ashtakiwa ICC
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemshitaki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete. Anaandika Josephat Isango. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo mchana ukumbi wa Kisenga uliopo Millenium Tower, wakili wa […]
The post Jk ashtakiwa ICC appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili26 Sep
Ashtakiwa ICC kwa uharibifu wa maeneo ya kihistoria
Mwanamgambo mmoja wa kiislamu anayeshukiwa kuharibu maeneo ya kihistoria na kitamaduni katika mji wa Timbuktu nchini Mali, amepelekwa katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC kukabaliana na mashtaka yanayohusu uhalifu wa kivita
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
ICC:''Yebei aliwahonga mashahidi ICC''
Mahakama ya ICC inadai kuwa shahidi aliyeuawa aliwahonga mashahidi wengine. Na Emmanul Igunza
10 years ago
BBCSwahili27 Dec
Bi Gbagbo ashtakiwa Ivory Coast
Mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast Simone Gbagbo amefikishwa mahakamani kutokana na mashtaka ya ghasia za baada ya uchaguzi
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Msanii Dr.Dre ashtakiwa,kunani?
Wasanii mashuhuri wa Marekani Dr Dre na Jimmy Loving wanashtakiwa na mshirika wao wa kibiashara kuhusu vipaza sauti vya beats
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Daktari 'bandia' ashtakiwa Kenya
Raia mmoja wa Kenya ameshtakiwa na makosa 12 ikiwemo ubakaji,kujifanya kuwa mkunga mbali na kufungua kliniki bila leseni jijini Nairobi.
10 years ago
BBCSwahili24 Mar
Mwandishi habari ashtakiwa Angola
Mwandishi habari mashuhuri amefikishwa mahakamani nchini Angola kwa madai ya kuwaharibia watu mashuhuri majina.
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Aliyekuwa rais wa Thailand ashtakiwa
Aliyekuwa waziri mkuu wa Thailand Yingluck Shinawatra ameshtakiwa katika mahakama ya juu kwa kosa la kutowajibika
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Mourinho ashtakiwa utovu wa nidhamu
Mourinho amefunguliwa mashtaka ya utovu wa nidhamu na FA kwa sababu ya lugha aliyoitumia wakati wa mechi ambayo Chelsea walishindwa na West Ham.
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
Makamu wa rais wa Argentina ashtakiwa
Makamu wa rais nchini Argentina Amado Boudou ameshtakiwa kwa mashtaka ya ufisadi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania