JK ateua wabunge wengine.
Rais Jakaya Kikwete, amewateua wabunge wawili wapya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku ikiwa imesalia miezi minne kabla ya Bunge hilo kuvunjwa.
Walioteuliwa ni Dk. Grace Khwaya Puja na Innocent Sebba, ambao uteuzi wao umeanza Machi 20, mwaka huu.
“Rais amefanya uteuzi huu kwa mamlaka aliyopewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 66 (I) (e), ambapo amepewa mamlaka ya kuteua wabunge wasiozidi 10,” ilieleza sehemu ya taarifa ya iliyotolewa kwa vyombo vya habari...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 May
Kikwete ateua DC mmoja, ahamisha wengine 10
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, mkoa wa Dodoma.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-RYGpccb3QhA/VWNEbBuvQVI/AAAAAAAHZwI/xHG00oEaXrg/s72-c/download.jpg)
JK ATEUA MKUU WA WILAYA MMOJA NA KUHAMISHA WENGINE 10 leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-RYGpccb3QhA/VWNEbBuvQVI/AAAAAAAHZwI/xHG00oEaXrg/s1600/download.jpg)
10 years ago
Mtanzania27 Mar
JK ateua wabunge wapya
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete amewateua Dk. Grace Puja na Innocent Sebba kuwa wabunge wapya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Taarifa iliyotolewa jijini Dar es Salaam jana na Mwandishi Msaidizi wa Rais, Premi Kibanga, ilisema uteuzi huo unatokana na mamlaka aliyopewa rais na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 66 (I) (e).
Alisema ibara hiyo, inampa mamlaka rais ya kuteua wabunge wasiozidi 10 na kwamba uteuzi wa wabunge hao ulianza Machi 20,...
9 years ago
Dewji Blog04 Oct
JK ateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba.
Wakuu wa wilaya 13 walioteuliwa ni Shaaban Athuman Ntanambe ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mkoa wa Kagera; Thabisa Mwalapwa ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Mkoa wa Manyara; Richard Kasesera ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mkoa wa Iringa, Ruth Msafiri ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma na...
10 years ago
Mwananchi27 Mar
JK ateua wabunge wawili wapya
10 years ago
Habarileo27 Mar
Rais Kikwete ateua wabunge wawili
RAIS Jakaya Kikwete amefanya uteuzi wa wabunge wawili wapya wa Bunge na kukamilisha idadi ambayo amepewa mamlaka na Katiba kuwateua.
11 years ago
Mwananchi08 Feb
JK ateua majina ya wabunge wa bunge la Katiba
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-4Ltfy5zewXI/VIS0UhQ7O9I/AAAAAAADRJY/U3rl-7IWFlk/s72-c/uhuru%2Bna%2Bumoja.jpg)
RAIS KIKWETE ATEUA MKUU MPYA MMOJA WA MKOA NA KUWAHAMISHA VITUO VYA KAZI WENGINE SITA
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
![](http://2.bp.blogspot.com/-4Ltfy5zewXI/VIS0UhQ7O9I/AAAAAAADRJY/U3rl-7IWFlk/s1600/uhuru%2Bna%2Bumoja.jpg)
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-NWrG1PCyc9I/XpK-Zh_YV-I/AAAAAAABnIc/QaCxcjjr5oUauo3v8zv2s0sMCe_ilYlhACLcBGAsYHQ/s72-c/gdfhgdf.jpg)
WABUNGE WENGINE CHADEMA NA CUF MBIONI KUTIKIA CCM
![](https://1.bp.blogspot.com/-NWrG1PCyc9I/XpK-Zh_YV-I/AAAAAAABnIc/QaCxcjjr5oUauo3v8zv2s0sMCe_ilYlhACLcBGAsYHQ/s640/gdfhgdf.jpg)
Taarifa kutoka kwa baadhi ya watu waliokaribu na wabunge hao zinasema, tayari wawakilishi hao wa wananchi, wamekamilisha majadiliano na baadhi ya viongozi wakuu wa vyama wanavyotarajia kujiunga navyo.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa wa MwanaHALISI ONLINE, hatua ya kuondoka kwa wabunge hao katika kipindi hiki cha kuelekea...