Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK awapa matumaini wafanyakazi

RAIS Jakaya Kikwete amewapa matumaini wafanyakazi nchini, kwamba ifikapo Juni serikali itapandisha kima cha chini cha mshahara na kupunguza kodi wanayokatwa. Ametoa ahadi hiyo kwenye  Sherehe za Mei Mosi jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Lowassa awapa matumaini bodaboda

JESHI la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, lipo katika mazungumzo na waendesha bodaboda ili kuangalia namna ya kuimarisha usalama barabarani, na kupunguza vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu, vinavyofanywa...

 

11 years ago

GPL

ERIC SHIGONGO AONGEA NA WAFANYAKAZI WA GLOBAL, AWAPA MBINU ZA UJASIRIAMALI

Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho (kushoto) akimkaribisha Mkurugenzi wa Global, Marsha Bukumbi (wa kwanza kulia) ili amkaribishe Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati) kuongea na wafanyakazi. Mkurugenzi wa Global Publishers, Marsha Bukumbi akiwashukuru wafanyakazi kwa utendaji wao kazi kabla ya kumkaribisha Eric Shigongo kuongea.… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA CHUO CHA UTALII NCHINI WAUNDA BARAZA LA WAFANYAKAZI.


Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamaliwatu(DHRN) wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Said Msambachi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Chuo cha Utalii Tanzania, uliofanyika katika Kampasi ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kwa niaba ya Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Adelhe Meru.  Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani,  Rosada Musoma akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Chuo cha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa wizara ya uchukuzi washerehekea vema siku ya wafanyakazi Duniani jijini Dar

DSC_0566

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0576

Sehemu ya Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi, wakikimbia katika maandamano ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa,jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

DSC_0577

Wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi wakitoa...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA UCHUKUZI WASHEREHEA VEMA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI ILIYOADHIMISHWA KITAIFA JIJINI DAR

Sehemu ya wafanyakazi wa wizara ya Uchukuzi, wakiwa wamejipanga tayari kwa ajili ya kushiriki katika maandamano ya siku ya wafanyakazi Duniani yaliyofanyika Kitaifa Jijini Dar es Salaam, katika Uwanja Wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo Asubuhi.

 

11 years ago

Mwananchi

Vyama vya wafanyakazi visaidie wafanyakazi

Kumekuwa na vyama vingi vya wafanyakazi, lakini kero za wafanyakazi bado zinaendelea kuwapo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani