Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa awapa matumaini bodaboda

JESHI la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, lipo katika mazungumzo na waendesha bodaboda ili kuangalia namna ya kuimarisha usalama barabarani, na kupunguza vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu, vinavyofanywa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

JK awapa matumaini wafanyakazi

RAIS Jakaya Kikwete amewapa matumaini wafanyakazi nchini, kwamba ifikapo Juni serikali itapandisha kima cha chini cha mshahara na kupunguza kodi wanayokatwa. Ametoa ahadi hiyo kwenye  Sherehe za Mei Mosi jijini...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Lowassa awapa masharti magumu polisi

ALIYEKUWA mgombea Urais wa Chadema, Edward lowassa, amelitaka jeshi la Polisi nchini kuwachukulia hatua wale wote wanadaiwa kumuua, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo na kwamba kama hawatafanya hivyo, watachukua hatua wao wenyewe.Anaandika Moses Mseti, Mwanza … (endelea). Kauli hiyo ameitoa ikiwa ni siku mbili sasa tangu Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, kutoa hukumu

 

9 years ago

Mwananchi

Mke wa Lowassa awapa mbinu za kupiga kura Babati

Mke wa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, Regina amewaomba Watanzania kuwa makini siku ya kupiga kura, kutunza kadi zao.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa awapa pole ya Sh2 milioni waliokolewa mgodini

Waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa amewatembelea watu wanne waliokuwa wamefunikwa na kifusi katika mgodi wa Nyangalata na kumpa kila mmoja pole ya Sh500,000.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli, Lowassa wajaa matumaini

mtz1FINAL>>Magufuli asema yeye ndiye mshindi
>> Lowassa atamba kupata ushindi mnono

NA FREDY AZZAH, HANDENI

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema ana uhakika wa kushinda kwa asilimia 80, na kwamba atakuwa rais wa mabadiliko na si maneno.

Lowassa ambaye anaungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliyasema hayo jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kigoda CCM, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga.

“Kuna watu wanasema...

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa: Nimeanza safari yenye matumaini

Edward lowassaMBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa amesema ameanza safari yake jana yenye matumaini makubwa kwa Watanzania, lakini yenye vikwazo vingi, ingawa anasema ana uhakika wa kufika na kushinda.

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI YA MATUMAINI YAMFIKISHA LOWASSA CHADEMA

Yametimia! Waziri Mkuu aliyejiuzulu katika wadhifa huo, Edward Lowassa, amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinachofungamana na vyama vinavyounda vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Je, hadhi ya kisiasa ya Lowassa itapanda na kuzidi kufikia ndoto za utumishi wake, ama atakuwa anaanguka kiasi cha kufikia hatua ya kusahaulika kwa jamii?

Kwa namna yoyote, hatua ya Lowassa kujiunga Chadema itachagiza kazi ya mageuzi ya kisiasa hasa katika kuelekea Uchaguzi...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema: Bodaboda achaneni na Lowassa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na Operesheni Pamoja Daima katika mikoa mbalimbali nchini.

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Safari ya matumaini bado inaendelea Monduli

Pg 1 coolNA FREDY AZZAH, MONDULI

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema safari ya matumaini ilianzia Monduli Mkoa wa Arusha na itaishia Monduli.

Kutokana na hali hiyo  amewataka wananchi wapendane kwa sababu kuna maisha baada ya uchaguzi.

Lowassa aliyasema hayo jana kwa nyakati tofauti kwenye mikutano yake ya kampeni   katika Jimbo la Monduli.

Akiwa Monduli mjini kwenye mkutano uliofanyika katika uwanja wa polisi ambako ndiko nyumbani kwake, Lowassa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani