Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema: Bodaboda achaneni na Lowassa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na Operesheni Pamoja Daima katika mikoa mbalimbali nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Lowassa awapa matumaini bodaboda

JESHI la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, lipo katika mazungumzo na waendesha bodaboda ili kuangalia namna ya kuimarisha usalama barabarani, na kupunguza vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu, vinavyofanywa...

 

11 years ago

GPL

BODABODA WAMTIBUA LOWASSA KUMWITA RAIS

Stori: Issa Mnally
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa juzi Jumapili alitibuliwa na waendesha pikipiki (Bodaboda) wa wilaya zote za  jijini Dar Salaam katika Viwanja wa Leaders baada ya kusukuma gari lake huku wakiimba ‘rais, rais, rais.’ Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli alionekana kutibuka alipopewa nafasi ya kuzungumza  katika mkutano huo uliokuwa maalum kwa ajili ya kuzindua saccos ya waendesha bodaboda...

 

10 years ago

Mwananchi

LOWASSA CHADEMA: Fitina zimempeleka Lowassa upinzani

>Hatimaye waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa amekitosa chama chake cha CCM na kutua Chadema. Huko ndiko anatarajia kuendelea na safari yake ya matumaini aliyoianza na sasa anatarajiwa kupambana na ikiwezekana kukidhoofisha chama kilichomlea katika harakati za kuingia Ikulu.

 

11 years ago

GPL

Mh. Lowassa akutana na uongozi wa bodaboda mkoa wa Dar



Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa shirikisho la waendesha bodaboda jijini Dar es Salaam,waliomtembelea ofisini kwake leo.Mh. Lowassa alikutana na viongozi hao kupanga utaratibu wa kufanya harambee ya kuchangia saccos ya shirikisho hilo.Mwezi Disemba mwaka jana,Mh Lowassa alikuwa mgeni rasmi katika tamasha la bodaboda kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bodaboda wavamia ofisi za CHADEMA

MADEREVA wa Bajaj na pikipiki jana walivamia Ofisi za  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Makao Makuu kuwasilisha malalamiko yao dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said...

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa kuunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda

MGOMBEA wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa amesema kwamba iwapo atapata ridhaa ya wananchi ya kuchaguliwa kuiongoza nchi ataunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda nchini ili kutetea na kuboresha maslahi yao.

 

11 years ago

GPL

LOWASSA AWAAMBIA BODABODA: NUNUENI PIKIPIKI, MSIWATAJIRISHE WENGINE

Mwenyekiti wa Shirikisho la Waendesha Bodaboda Wilaya ya Ilala, Michael Loswe (kushoto), akisoma risala kwa mgeni rasmi, Edward Lowassa. Kamanda wa Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga (kushoto), akiteta jambo na Lowassa.…

 

11 years ago

IPPmedia

Chadema wants bodaboda back in city centre


IPPmedia
Chadema wants bodaboda back in city centre
IPPmedia
Police in Dar es Salaam have been called on to adopt innovative approaches suitable to tackle motorcycle related crimes that are on the rise in the city. The call is from opposition party Chadema's youth wing Bavicha whose Secretary General Deogratias ...

 

9 years ago

Habarileo

Bashe: Achaneni na wapinzani, watatugawa

MGOMBEA ubunge wa CCM katika Jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe, amesema wapinzani wanataka kuwagawa wananchi kwa misingi ya udini na ukabila hivyo amewataka wananchi wasimchague mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani