Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Lowassa akutana na uongozi wa bodaboda mkoa wa Dar



Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa shirikisho la waendesha bodaboda jijini Dar es Salaam,waliomtembelea ofisini kwake leo.Mh. Lowassa alikutana na viongozi hao kupanga utaratibu wa kufanya harambee ya kuchangia saccos ya shirikisho hilo.Mwezi Disemba mwaka jana,Mh Lowassa alikuwa mgeni rasmi katika tamasha la bodaboda kwenye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Bodaboda wamwangukia Mkuu wa Mkoa wa Dar

1

Baadhi ya viongozi na  wanachama wa bodaboda wakiwa katika mazungumzo na wanahabari (hawapo pichani).

Na  Mwandishi wetu.

Kamati maalum ya madereva Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, wamemtaka mkuu wa mkoa Saidi Meck Sadiki  kusitisha agizo la vyombo hivyo kutoingia katikati ya jiji (Central Business District CBD).

Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, katibu wa kamati hiyo Daudi Laurian, alisema kuwa mkuu wa mkoa alitoa agizo hilo bila kuwashirikisha kwa kuwapa taarifa ...

 

5 years ago

Michuzi

MKUTANO KATI YA MKUU WA MKOA DAR, WAENDESHA BODABODA 'WAYEYUKA KIANA'

 Mmoja ya viongozi wa waendesha bodaboda katika Jiji la Dar es Salaam akiwa chini ya ulinzi baada ya kudaiwa kuvuruga mkutano ambao ulikuwa umeitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.Kiongozi huyo anadaiwa alitoa taarifa za kuhairisha mkutano huo jambo ambalo halikuwa limewafurahisha wengine.  Askari Polisi wakiwa wamemuweka chini ya ulinzi mmoja ya viongozi wa waendesha bodaboda baada ya kutuhumiwa na waendesha bodaboda wenzake kuwa ametangaza kuhairishwa kwa mkutano kati yao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais akutana na uongozi wa NEC-Japan Ikulu Jijini Dar

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Rais wa Shirika la NEC Corporation la Japan, Dkt. Nobuhiro Endo, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 12, 2014 akiwa ameongozana na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo. (Picha na OMR).

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal leo amekutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC yenye makao yake makuu jijini Tokyo nchini Japan....

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI IDDI AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA MITATANDAO YA VIETNAM TAWI LA DAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Ofisa wa Kampuni ya Mitandao ta Teknolojia ya Mawasiliano ya Vietnam Tawi la Dar es salaam Bibi Le Duy Duong Ofisini kwake Vuga. Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi naTeknolojia ya SMT Profesa Makame Mnyaa Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Viettel Tanzania Bwana Nguyen Thanh Quang.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Viettel Tanzania Bwana Nguyen Thanh...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UONGOZI WA NEC-JAPAN IKULU JIJINI DAR LEO

Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal leo amekutana na Uongozi wa Kampuni ya NEC yenye makao yake makuu jijini Tokyo nchini Japan. Ujumbe wa NEC-Japan umeongozwa na Rais wa Kampuni hiyo inayojishughulisha na masuala ya Mawasiliano na Teknolojia, Dkt. Nobuhiro Endo.
Ujio wa Kampuni hii nchini Tanzania unatokana na mwaliko wa Tanzania kwa makampuni ya Japan kufuatia ziara ya kikazi aliyoifanya Mheshimiwa Makamu wa Rais nchini Japan, mwezi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais akutana na uongozi wa Chama cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar

a3

 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam jana. Walioketi kushoto ni Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha Rose Migiro, Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Mcheche Masaju Kamishna wa Ustawi wa Jamii Bw. Rabirika Mushi na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bw. Emmanuel Achayo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifafanua jambo wakati akiongea na viongozi...

 

10 years ago

Vijimambo

NEC YAKUTANA NA UONGOZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM KUTATHIMINI ZOEZI ZIMA LA UANDIKISHWAJI BVR

 Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekutana na viongozi waandamizi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo, wakuu wa wilaya zote na wakurugenzi wa manispaa zote kutathimini hali ya zoezi zima la uandikishwaji mkoa wa Dar es salaam.
 Pamoja na changamoto zilizoainishwa ikiwemo rasimali Fedha yalijadiliwa kwakina,Tume imetoa wito kwa uongozi wa Dar es salaam kuhakikisha matatizo yaliyoainishwa yanatatuliwa katika siku zilizobaki ikiwemo uhaba wa watumishi vituoni suala la rushwa,na...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA BARAZA LA HABARO TANZANIA (MCT), IKULU DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na viongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wakati walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 11, 2014 kwa ajili ya mazungumzo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea baadhi ya machapisho ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kutoka kwa Rais wa Baraza hilo, Jaji Thomas Mihayo, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani