BALOZI IDDI AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA MITATANDAO YA VIETNAM TAWI LA DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-Rw5ComqIH4g/VJVJaFZDh3I/AAAAAAACUlY/ShYVw1z-cwk/s72-c/731.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Ofisa wa Kampuni ya Mitandao ta Teknolojia ya Mawasiliano ya Vietnam Tawi la Dar es salaam Bibi Le Duy Duong Ofisini kwake Vuga. Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi naTeknolojia ya SMT Profesa Makame Mnyaa Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Viettel Tanzania Bwana Nguyen Thanh Quang.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Viettel Tanzania Bwana Nguyen Thanh...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU BALOZI KANALI IBUGE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA VIETNAM
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Afrika Mashariki BaloziCol. Wilbert A. Ibuge katikati akimkaribisha Balozi wa Vietnam chini Mhe.Nguyen Kim Doanh katika ofisi za Wizara Jijini Dodoma alipofika kuitikia wito wa Katibu Mkuu kulia ni KaimuMkurugenzi anayeshughulikianchi za Asia na AustralasiaBw. Ceasar Waitara.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje naUshirikiano wa Afrika Mashariki BaloziCol. Wilbert A. Ibuge (kulia) akizungumza na Balozi wa Vietnam chini Mhe.Nguyen Kim Doanh...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9N-UvlcSCPs/U7F9C_xIfLI/AAAAAAAFtqs/Smnucll6C14/s72-c/unnamed+(33).jpg)
JK akutana na makamu wa Rais wa Kampuni ya Viettel group ya Vietnam
![](http://2.bp.blogspot.com/-9N-UvlcSCPs/U7F9C_xIfLI/AAAAAAAFtqs/Smnucll6C14/s1600/unnamed+(33).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-KH09UlywMuo/U7F9DzntDcI/AAAAAAAFtq0/_WjoF7WOrVE/s1600/unnamed+(34).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-YXcPYJlqNp8/VNNVFWsqMjI/AAAAAAAHB7M/2xGFE32hcLU/s72-c/unnamed%2B(41).jpg)
Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-W4Ubr1Nop0Q/VEOMDKdJmGI/AAAAAAAGr6k/11eeo4mChtU/s72-c/287.jpg)
BALOZI IDDI AKUTANA NA BALOZI WA UJERUMANI NCHINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-W4Ubr1Nop0Q/VEOMDKdJmGI/AAAAAAAGr6k/11eeo4mChtU/s1600/287.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Vz2DJWSnAcg/VEOMDYdvXSI/AAAAAAAGr6o/18KBnIVZ7zo/s1600/298.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hqwt7Vasj0M/UySNv4CkkII/AAAAAAAFTrw/0fQCt0sIygc/s72-c/unnamed+(7).jpg)
Balozi Seif Ali Iddi asaidia vifaa vya ujenzi kwa Ofisi ya CCM Tawi la Kazole, Kaskazini Unguja
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-OW_CiaiBlRo/XvbY_poXiGI/AAAAAAAC8hI/8zDz-a1frc86CiNkUPtcd-izx6d83mD0gCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
BALOZI SEIF ALI IDDI: POKEENI FEDHA ZA WANAOTAKA KUNUNUA UONGOZI NDANI YA CCM
![](https://1.bp.blogspot.com/-OW_CiaiBlRo/XvbY_poXiGI/AAAAAAAC8hI/8zDz-a1frc86CiNkUPtcd-izx6d83mD0gCLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
Kauli hiyo ameitoa Julai 26 mwaka huu wilayani Kahama mkoani Shinyanga katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani humo akiwa ni mlezi wa CCM mkoani...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JYzh66W8lBE/VG9wHy9jiHI/AAAAAAAGyxc/EO4b4cTkeR8/s72-c/1.jpg)
Balozi Seif Ali Iddi akutana na makada wa CCM nchini China
![](http://4.bp.blogspot.com/-JYzh66W8lBE/VG9wHy9jiHI/AAAAAAAGyxc/EO4b4cTkeR8/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-qbAEIg_myKg/VG9wICiQOyI/AAAAAAAGyxU/hztWmGy9H9c/s1600/3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
Pinda akutana na uongozi wa kampuni ya China Merchant Group
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimwonyesha Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng jarida linaloonyesha fursa za uwekezaji nchi lililotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania katika mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Wazri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 2015. Kampuni hiyo Inatarajiwa kuanza ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hivi karibuni. (Picha bna Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Burundi Pierr Nkurunzinza katika chakula cha...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-imNoylvkOvk/U7ZgHfrw4oI/AAAAAAAFu20/b7_D8PAPthc/s72-c/030.jpg)
Balozi Seif Ali Iddi autaka Uongozi wa Mamlaka ya uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar { ZIA } kuwa wabunifu
Alisema watendaji hao pia wanapaswa kubadilika na kwenda na wakati kulingana na huduma wanazotoa kwa wasafiri hasa wakizingatia kwamba uwanja huo hivi sasa unaendelea kuimarishwa katika hadhi na kiwango cha...