Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI IDDI AKUTANA NA BALOZI WA UJERUMANI NCHINI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ofisini kwake vuga Mjini Zanzibar. Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke akibadilisha mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif katika jitihada za kuimarisha ushirikiano kati ya Ujerumani na Zanzibar. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN

Balozi Mpya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Japan Balozi Batilda Buriani akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkaribisha Balozi Mpya wa Malawi Nchini Tanzania Bibi Hawa Ndolowe aliyefika Ofisini kwake kujitambulisha rasmi.
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na makada wa CCM nchini China

Makamu wa pili wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mh. Balozi Seif Ali Iddi (wa tano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya makada wa CCM-China wakati alipokutana nao.Makamu wa pili wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mh. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Tawi la CCM-China Bw. Olivo Mtunge wakati alipokutana nao kwa mazungumzo ikiwa ni pamoja na kufungua tawi jipya la Chama hicho,nchini...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia aagana na balozi iddi seif zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Idd Seif akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima alipokwenda kumtembelea Ofisini kwake Zanzibar. Dkt. Mlima alikwenda kujitambulisha na kuwaaga viongozi wa Juu wa Kitaifa Zanzibar, na alikutana na Makamu wa Kwanza Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Seif Shariff Hamad. Dkt. Mlima aliteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kwenda kuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Miss Kanda ya Kati Dorice Mollel akutana na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani

altAlFzJG1DY2zxBFLGNi25BmiZi0AbAj0wJczqpfwvgVvh

Miss Kanda ya Kati Dorice Mollel katika picha ya  pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe Philip Marmo nje jengo la ubalozi wa Tanzania jijini Berlin alipotembelea ubalozi huu akiwa kwenye program ya mwezi mmoja, na wenzake 8 (hawapo pichani) kutoka Chuo cha kumbukumbu ya Mwl. Nyerere.

Baada ya kutembelea ofisi za ubalozi wa Tanzania jijini Berlin, Mhe. Marmo aliwaelezea historia ya ushirikiano baina ya Ujerumani na Tanzania ambapo nchi hiyo imekuwa miongoni mwa wadau wa maendeleo...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA BOTSWANA NCHINI,PIA AKUTANA NA BALOZI WA RWANZA NCHINI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI MPYA WA DENMARK NCHINI TANZANIA, EINAR HEBOGARD JENSEN

Balozi Mpya wa Denmark Nchini Tanzania Einar Hebogard Jensen akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwa Balozi Seif Vuga Mjini Zanzibar alipofika kujitambulisha rasmi.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwa Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mpya wa Denmark Nchini Tanzania Bwana Einar Hebogard Jensen. Picha na –OMPR – ZNZ.
Denmark imeahidi kuendelea kuiunga Mkono Zanzibar katika harakati zake za Kiuchumi na...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi kamala akutana na balozi wa ubelgiji nchini tanzania

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ubelgiji Tanzania Mhe. Adam Koeler (wa pili kutoka kulia) baada ya kumaliza kikao cha maandalizi ya ziara ya wadau  wa sekta za  miundombinu ya bandari, reli na kilimo itakayofanyika Ubelgiji kuanzia tarehe 19-23 Mei, 2014. Kikao kimefanyika nyumbani kwa Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani