Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodaboda wamwangukia Mkuu wa Mkoa wa Dar

1

Baadhi ya viongozi na  wanachama wa bodaboda wakiwa katika mazungumzo na wanahabari (hawapo pichani).

Na  Mwandishi wetu.

Kamati maalum ya madereva Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, wamemtaka mkuu wa mkoa Saidi Meck Sadiki  kusitisha agizo la vyombo hivyo kutoingia katikati ya jiji (Central Business District CBD).

Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, katibu wa kamati hiyo Daudi Laurian, alisema kuwa mkuu wa mkoa alitoa agizo hilo bila kuwashirikisha kwa kuwapa taarifa ...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MKUTANO KATI YA MKUU WA MKOA DAR, WAENDESHA BODABODA 'WAYEYUKA KIANA'

 Mmoja ya viongozi wa waendesha bodaboda katika Jiji la Dar es Salaam akiwa chini ya ulinzi baada ya kudaiwa kuvuruga mkutano ambao ulikuwa umeitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.Kiongozi huyo anadaiwa alitoa taarifa za kuhairisha mkutano huo jambo ambalo halikuwa limewafurahisha wengine.  Askari Polisi wakiwa wamemuweka chini ya ulinzi mmoja ya viongozi wa waendesha bodaboda baada ya kutuhumiwa na waendesha bodaboda wenzake kuwa ametangaza kuhairishwa kwa mkutano kati yao...

 

11 years ago

GPL

Mh. Lowassa akutana na uongozi wa bodaboda mkoa wa Dar



Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa shirikisho la waendesha bodaboda jijini Dar es Salaam,waliomtembelea ofisini kwake leo.Mh. Lowassa alikutana na viongozi hao kupanga utaratibu wa kufanya harambee ya kuchangia saccos ya shirikisho hilo.Mwezi Disemba mwaka jana,Mh Lowassa alikuwa mgeni rasmi katika tamasha la bodaboda kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar atembelea eneo la mafuriko mkoani morogoro

Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Meck Sadiq akimshukuru mmoja wa wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam Rumin Shar kutoka kampuni ya Pan Africa Enterprises Ltd baada ya Kampuni yao kutoa magodoro 200 aina ya Comfy kwa ajiri ya ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea wiki iliyopita eneo la Dakawa mkoani humo na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kuwaacha mamia bila makazi. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro akimweleza kwa kina hali ilivyokuwa baada ya kutokea kwa mafuriko Mkuu wa Mkoa wa Dar...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AFUNGUA MAONYESHO YA DAR PROPERTY EXPO


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, akikata utepe kufungua maonyesho ya uwekezaji katika majengo yajulikanayo kama Dar Property Expo kwenye ukumbi wa VIP wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Jumamosi Mei 2, 2015. Makampuni na mabenki mbalimb ali yanashiriki kwenye maonyesho hayo
Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakiwapatia maelezo wananchi kuhusu namna wanavyoweza kupata nyumba na jinsi walivyowekeza kwenye majengo waliotembelea banda la Mfuko huo
MKUU wa Mkoa wa...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MERCK SADICK ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAISLAMU WA AHMADIYYA KUANZA KESHO

MKUU wa mkoa wa Dar es salaam Merck Sadick anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa mwaka  wa 46 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania utakaofanyika kuanzia tarehe 2 hadi 4 octoba mwaka huu katika eneo la kitonga, Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaaM.
Hayo yamesemwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Sheikh Tahir amesema kuwa lengo kuu la mkutano huo ni kukumbushana misingi sahihi ya...

 

10 years ago

Michuzi

MENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu Ndugu Erasmus Rugarabamu kwa niaba ya Menejimenti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa akitoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya ambaye pia ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma kwa ushindi mnono alioupata katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kutafuta mgombea wa ubunge Jimbo la Mbinga Magharibi. Eng. Manyanya alishinda kwa kura 13,276 ambapo mshindi wa ...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yamshukia Mkuu wa Mkoa Dar

Chadema imekosoa uamuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick kuzuia waendesha bodaboda, bajaji na maguta wasifike Posta kwa kile walichodai kuwa hakufuata kanuni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zungu: Mkuu wa Mkoa Dar hafai

MBUNGE wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM), amewashutumu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik na Mkurugenzi wa Jiji, Willison Kabwe, kulivuruga jiji hilo kwa kuwakamata wafanyabiashara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani