Zungu: Mkuu wa Mkoa Dar hafai
MBUNGE wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM), amewashutumu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik na Mkurugenzi wa Jiji, Willison Kabwe, kulivuruga jiji hilo kwa kuwakamata wafanyabiashara...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar atembelea eneo la mafuriko mkoani morogoro
![](http://1.bp.blogspot.com/-aQiUAz97tKU/Uu6GSSVh4KI/AAAAAAAFKZc/OEVt4B_vw2o/s1600/Pic+three+mafuriko.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-V_UlHLtuUqE/VUSs0uLNHcI/AAAAAAAATGw/h79yWy1PYQY/s72-c/p6.jpg)
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AFUNGUA MAONYESHO YA DAR PROPERTY EXPO
![](http://4.bp.blogspot.com/-V_UlHLtuUqE/VUSs0uLNHcI/AAAAAAAATGw/h79yWy1PYQY/s1600/p6.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, akikata utepe kufungua maonyesho ya uwekezaji katika majengo yajulikanayo kama Dar Property Expo kwenye ukumbi wa VIP wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Jumamosi Mei 2, 2015. Makampuni na mabenki mbalimb ali yanashiriki kwenye maonyesho hayo
![](http://3.bp.blogspot.com/-qbYewk4mm78/VUSs2ng4xUI/AAAAAAAATG4/cFYkGCmrgPo/s1600/p1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3RQAwh-QT5w/VUSsmQ_Ir1I/AAAAAAAATGY/2ltXIJtfpZ0/s1600/p11.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-SNES_kOOpkA/Vg0GANaIzCI/AAAAAAAH8FE/D8x_tgDx90M/s72-c/meck-sadick-jan10-2014.jpg)
MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MERCK SADICK ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAISLAMU WA AHMADIYYA KUANZA KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-SNES_kOOpkA/Vg0GANaIzCI/AAAAAAAH8FE/D8x_tgDx90M/s320/meck-sadick-jan10-2014.jpg)
Hayo yamesemwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Sheikh Tahir amesema kuwa lengo kuu la mkutano huo ni kukumbushana misingi sahihi ya...
10 years ago
MichuziMENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI
11 years ago
Dewji Blog09 Jul
Bodaboda wamwangukia Mkuu wa Mkoa wa Dar
Baadhi ya viongozi na wanachama wa bodaboda wakiwa katika mazungumzo na wanahabari (hawapo pichani).
Na Mwandishi wetu.
Kamati maalum ya madereva Bodaboda Mkoa wa Dar es Salaam, wamemtaka mkuu wa mkoa Saidi Meck Sadiki kusitisha agizo la vyombo hivyo kutoingia katikati ya jiji (Central Business District CBD).
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, katibu wa kamati hiyo Daudi Laurian, alisema kuwa mkuu wa mkoa alitoa agizo hilo bila kuwashirikisha kwa kuwapa taarifa ...
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Chadema yamshukia Mkuu wa Mkoa Dar
10 years ago
GPL08 May
11 years ago
GPLWAZEE WA YANGA WAPANGA KUMFUATA MKUU WA MKOA WA DAR
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UTGfO7AHjis/U1f4rYA7tFI/AAAAAAAAeQ4/07ER6li_7wA/s72-c/unnamed.jpg)
JIJI LA DAR ES SALAAM KUENDELEA KUSAFISHWA - MKUU WA MKOA
![](http://4.bp.blogspot.com/-UTGfO7AHjis/U1f4rYA7tFI/AAAAAAAAeQ4/07ER6li_7wA/s1600/unnamed.jpg)
Na. Aron Msigwa –MAELEZO,Dar es salaam.
Jumla ya kata 22 katika manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke zitaingizwa katika mpango wa utengaji wa maeneo maalum (smart area) kwa ajili ya kuboresha usafi wa mazingira jijini Dar es salaam.
Akitoa taarifa ya kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa wa Dar es salaam (RCC) leo jijini Dar es salaam, Mkuu wa...