BODABODA WAMTIBUA LOWASSA KUMWITA RAIS
Stori: Issa Mnally WAZIRI Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa juzi Jumapili alitibuliwa na waendesha pikipiki (Bodaboda) wa wilaya zote za jijini Dar Salaam katika Viwanja wa Leaders baada ya kusukuma gari lake huku wakiimba ‘rais, rais, rais.’ Lowassa ambaye ni Mbunge wa Monduli alionekana kutibuka alipopewa nafasi ya kuzungumza katika mkutano huo uliokuwa maalum kwa ajili ya kuzindua saccos ya waendesha bodaboda...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMATATANI KWA KUMWITA RAIS KIAZI
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Lowassa awapa matumaini bodaboda
JESHI la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, lipo katika mazungumzo na waendesha bodaboda ili kuangalia namna ya kuimarisha usalama barabarani, na kupunguza vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu, vinavyofanywa...
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Chadema: Bodaboda achaneni na Lowassa
9 years ago
Habarileo06 Jan
Wachezaji Simba wamtibua Kerr
KOCHA mkuu wa timu ya Simba Dlyan Kerr amesema hajaridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri juzi uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.
11 years ago
GPLMh. Lowassa akutana na uongozi wa bodaboda mkoa wa Dar
11 years ago
GPLLOWASSA AWAAMBIA BODABODA: NUNUENI PIKIPIKI, MSIWATAJIRISHE WENGINE
9 years ago
Habarileo04 Oct
Lowassa kuunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda
MGOMBEA wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa amesema kwamba iwapo atapata ridhaa ya wananchi ya kuchaguliwa kuiongoza nchi ataunda serikali rafiki kwa waendesha bodaboda nchini ili kutetea na kuboresha maslahi yao.
10 years ago
MichuziJAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA
9 years ago
Mzalendo Zanzibar06 Oct
Lowassa Rais kabla ya kuchaguliwa
Edward Lowassa, akisalimiana na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, mjii Dodoma wakati wa mchakato wa uchaguzi wa CCM wa kutafuta mgombea wake wa urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa tarehe 25, mwezi huu. Picha kutoka maktaba […]
The post Lowassa Rais kabla ya kuchaguliwa appeared first on Mzalendo.net.