Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa Rais kabla ya kuchaguliwa

Edward Lowassa, akisalimiana na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, mjii Dodoma wakati wa mchakato wa uchaguzi wa CCM wa kutafuta mgombea wake wa urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa tarehe 25, mwezi huu. Picha kutoka maktaba […]

The post Lowassa Rais kabla ya kuchaguliwa appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Rais wa Ireland Mhe. Michael D. Higgins ampongeza Dkt John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais


 SALAMU ZA PONGEZI
Rais wa Ireland, Mheshimiwa Michael D. Higgins amemtumia Salamu za Pongezi  Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Salamu zake hizo, Rais Higgins amesema Ireland na Tanzania zimekuwa na uhusiano mzuri na wa kirafiki kwa miaka mingi, hivyo ana matarajio kwamba katika kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli, uhusiano huo utaimarishwa zaidi.


“Ireland na Tanzania zimekuwa na mipango ya maendeleo na...

 

11 years ago

Mwananchi

Pongezi JK kuchaguliwa Rais Bora Afrika

Tumefurahishwa na habari kwamba Rais Jakaya Kikwete amechaguliwa na jarida la kimataifa kuwa kiongozi bora mwenye mchango mkubwa zaidi katika maendeleo barani Afrika kwa mwaka 2013.

 

10 years ago

Michuzi

MH. MAKINDA AWASILI NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE NA VIONGOZI WA UWT KWA KUCHAGULIWA KUWA RAIS WA BUNGE LA SADC

Rais wa Jukwaa la Wabunge wa SADC (SADC PF) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Anne Makinda akilakiwa kwa shangwe na Viongozi wa UWT mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jana Usiku ikiwa ni furaha za kuchaguliwa kwake kuwa Rais wa Jukwaa la Bunge la SADC mjini Victoria Falls, Zimabwbe. Rais wa Jukwaa la Wabunge wa SADC (SADC PF) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Anne Makinda akipokea shada...

 

10 years ago

Habarileo

‘Katiba ipatikane kabla ya Rais ajaye’

MJUMBE wa Bunge Maalumu, Askofu Amos Mhagache amemwomba Rais Jakaya Kikwete aache amekamilisha mchakato wa kupata Katiba mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda Katiba ipatikane kabla ya Rais mpya

>Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema atafurahi kuona mchakato mzima wa Katiba ukikamilika kabla rais mpya hajapatikana katika Uchaguzi Mkuu ujao

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Habarileo

Kuchaguliwa Sitta, Suluhu kwapongezwa

MTANDAO wa Wanawake na Katiba kwenye mashirika zaidi ya 50 yanayotetea haki za wanawake katika Katiba mpya, umeeleza kufurahishwa na hatua za uongozi wa Bunge Maalumu kuzingatia usawa wa kijinsia.

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI JIJI LA DODOMA AMUAHIDI RAIS MAGUFULI KUOA KABLA YA MWEZI DISEMBA

Charles James, Michuzi TVMAELEKEZO yamefika! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kutangaza kuwa atafanya maamuzi ya kuoa kabla ya mwezi Desemba mwaka huu.
Ahadi hiyo ameitoa leo jijini Dodoma wakati akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Televisheni ya Clouds ikiwa ni wiki moja tangu Rais Dk John Magufuli atoe wito kwake yeye na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma wa kuwataka kuoa.
Akizungumzia suala la yeye kuoa, Kunambi amesema anafahamu kauli ya Rais Dk...

 

10 years ago

Vijimambo

Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi, wananchi wengi hawajaamua nani awe Rais

Watanzania wengi hawaridhiki na utendaji wa wabunge na hawatawachagua tena12 Novemba 2014, Dar es Salaam: Mwananchi mmoja kati ya watatu (33%) Tanzania Bara hajui ni nani atayekuwa chaguo lake la Rais kwenye uchaguzi mkuu ujao. Hakuna mgombea hata mmoja anayependwa na wapiga kura kwa zaidi ya 15%. Kwa mujibu wa takwimu zilizokusanywa na Twaweza mwezi Septemba 2014, anayeongoza ni Edward Lowassa (13%) akifuatiwa na Mizengo Pinda (12%) wote wa CCM, na watatu ni Dkt. Wilbrod Slaa wa Chadema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani