Kuchaguliwa Sitta, Suluhu kwapongezwa
MTANDAO wa Wanawake na Katiba kwenye mashirika zaidi ya 50 yanayotetea haki za wanawake katika Katiba mpya, umeeleza kufurahishwa na hatua za uongozi wa Bunge Maalumu kuzingatia usawa wa kijinsia.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Mar
Samia Suluhu Makamu wa Sitta
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Muungano, Samia Suluhu Hassan, amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo jana, Msimamizi wa Uchaguzi huo, Dk Thomas Kashililah, alisema Samia alipata kura 390, sawa na asilimia 74.6 ya kura zote zilizopigwa, 523.
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Sitta, Suluhu, Migiro watwishwa lawama
MTETEZI wa haki za wanawake, Ananilea Nkya, amesema kuvurugika kwa Bunge Maalum la Katiba, wa kulaumiwa ni Mwenyekiti Samuel Sitta, Makamu wake Samia Suluhu na Waziri wa Katiba na Sheria,...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar06 Oct
Lowassa Rais kabla ya kuchaguliwa
Edward Lowassa, akisalimiana na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, mjii Dodoma wakati wa mchakato wa uchaguzi wa CCM wa kutafuta mgombea wake wa urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa tarehe 25, mwezi huu. Picha kutoka maktaba […]
The post Lowassa Rais kabla ya kuchaguliwa appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Pongezi JK kuchaguliwa Rais Bora Afrika
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Lukuvi aomba kuchaguliwa amalizie miradi ya maendeleo
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-8YDh9NTgmr0/Vj5yuljy3bI/AAAAAAAAXEM/N3W0qibnfP0/s72-c/WABUNGE-page-001.jpg)
10 years ago
Habarileo14 Dec
Wadau wataka wabunge EAC kuchaguliwa na wananchi
WANANCHI wametaka wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuchaguliwa na wananchi kutoka nchi wanachama badala ya hivi sasa wabunge hao kuchaguliwa na mabunge ya nchi wanazotoka.
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Raia wa kigeni wadaiwa kuchaguliwa kuwa wenyeviti wa vijiji
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Bunge Maalumu la Katiba kipimo cha kuchaguliwa tena 2015Â
WABUNGE wa kuchaguliwa ambao pia ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watapimwa na watanzania kama kweli ni wazalendo kwa nchi yao au ni wazalendo kwa vyama vyao. Watapimwa jinsi...