Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta, Suluhu, Migiro watwishwa lawama

MTETEZI wa haki za wanawake, Ananilea Nkya, amesema kuvurugika kwa Bunge Maalum la Katiba, wa kulaumiwa ni Mwenyekiti Samuel Sitta, Makamu wake Samia Suluhu na Waziri wa Katiba na Sheria,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Migiro ajitosa urais, Sitta kurudisha fomu

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro.WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Daily News

Bilal, Sitta return forms as Migiro, two others, pick theirs in Dodoma


Bilal, Sitta return forms as Migiro, two others, pick theirs in Dodoma
Daily News
TWO CCM presidential hopefuls - the Vice-President, Dr Mohamed Gharib Bilal and Transport Minister, Mr Samuel Sitta - on Monday returned their union presidential nomination forms at the party's headquarters here after completing the guarantors' seeking ...
Tanzania's former UN top female official vies for presidencyGlobal Times

all 3

 

10 years ago

Michuzi

JUKATA WAMBEBESHA LAWAMA SITTA, WASEMA KATIBA MPYA NI NDOTO KUPATIKANA

 Kaimu mwenyekiti wa Uukwaa la Katiba Tanzania Hebron Mwakagenda akizungumza na wanandishi wa habari leo Agosti 27, 2014 juu ya mwenendo wa bunge la katiba.

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Wakati mchakato wa katiba Tanzania ukiwa ni kama kitendawili kisicho na majibu sahihi kutokana na mchakato huo kuvurugika na kukosa mwelekeo, nao Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) wazidi kumtupia lawama zote za kuvurugika bunge hilo mwenyekiti wa bunge hilo mheshimiwa Samweli Sitta na kudai kuwa ndiye...

 

11 years ago

Habarileo

Samia Suluhu Makamu wa Sitta

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Muungano, Samia Suluhu Hassan, amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo jana, Msimamizi wa Uchaguzi huo, Dk Thomas Kashililah, alisema Samia alipata kura 390, sawa na asilimia 74.6 ya kura zote zilizopigwa, 523.

 

11 years ago

Habarileo

Kuchaguliwa Sitta, Suluhu kwapongezwa

MTANDAO wa Wanawake na Katiba kwenye mashirika zaidi ya 50 yanayotetea haki za wanawake katika Katiba mpya, umeeleza kufurahishwa na hatua za uongozi wa Bunge Maalumu kuzingatia usawa wa kijinsia.

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo


WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk Asha-Rose Migiro leo anatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Van Gaal akubali kubeba lawama, awataka mashabiki wasiwatupie lawama wachezaji wake

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal.

Na Rabi Hume

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amewataka mashabiki wa klabu hiyo ya Manchester United kuacha kuwatupia lawama wachezaji wake na anaestahili kubeba lawama hizo ni yeye mwenyewe.

Van Gaal ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea kwa mchezo wa Ligi kuu ya Wingereza ambapo timu yake inatarajiwa kucheza na klabu ya West Bromwich Albion mchezo unaotarajiwa kucheza katika uwanja wa Old Trafford siku ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Vigogo watwishwa zigo Z’bar

Pg 2*Wamo Dk. Salmin Amour, Mwinyi, Amani Karume

*Zitto amtaka Magufuli atangaze hali ya hatari

*Jumuiya ya Madola yaingilia kati

Na Waandishi Wetu, Zanzibar/Dar

JUHUDI za kusaka suluhu kwa ajili ya kutatua mgogoro wa kisiasa wa Zanzibar zinaendelea, baada ya vigogo kadhaa wa kitaifa na kimataifa kuongezwa katika timu ya mazungumzo.

Taarifa kutoka visiwani huko zinasema, katika kufanikisha mchakato huo imeundwa kamati maalumu inayowashirikisha marais wote wastaafu wa Zanzibar kwa lengo la...

 

11 years ago

Habarileo

Wakuu wa mikoa watwishwa mzigo

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete, amewaagiza wakuu wa mikoa kupunguza vifo vya watoto na akinamama vinavyotokana na uzazi katika mikoa yao, huku akiwahadharisha kwamba atafuatilia kwa karibu utendaji wao kuona namna wanavyoshughulikia tatizo hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani