Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli, Lowassa wajaa matumaini

mtz1FINAL>>Magufuli asema yeye ndiye mshindi
>> Lowassa atamba kupata ushindi mnono

NA FREDY AZZAH, HANDENI

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema ana uhakika wa kushinda kwa asilimia 80, na kwamba atakuwa rais wa mabadiliko na si maneno.

Lowassa ambaye anaungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), aliyasema hayo jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kigoda CCM, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga.

“Kuna watu wanasema...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Lowassa awapa matumaini bodaboda

JESHI la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani, lipo katika mazungumzo na waendesha bodaboda ili kuangalia namna ya kuimarisha usalama barabarani, na kupunguza vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu, vinavyofanywa...

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI YA MATUMAINI YAMFIKISHA LOWASSA CHADEMA

Yametimia! Waziri Mkuu aliyejiuzulu katika wadhifa huo, Edward Lowassa, amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinachofungamana na vyama vinavyounda vuguvugu la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Je, hadhi ya kisiasa ya Lowassa itapanda na kuzidi kufikia ndoto za utumishi wake, ama atakuwa anaanguka kiasi cha kufikia hatua ya kusahaulika kwa jamii?

Kwa namna yoyote, hatua ya Lowassa kujiunga Chadema itachagiza kazi ya mageuzi ya kisiasa hasa katika kuelekea Uchaguzi...

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa: Nimeanza safari yenye matumaini

Edward lowassaMBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa amesema ameanza safari yake jana yenye matumaini makubwa kwa Watanzania, lakini yenye vikwazo vingi, ingawa anasema ana uhakika wa kufika na kushinda.

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Safari ya matumaini bado inaendelea Monduli

Pg 1 coolNA FREDY AZZAH, MONDULI

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema safari ya matumaini ilianzia Monduli Mkoa wa Arusha na itaishia Monduli.

Kutokana na hali hiyo  amewataka wananchi wapendane kwa sababu kuna maisha baada ya uchaguzi.

Lowassa aliyasema hayo jana kwa nyakati tofauti kwenye mikutano yake ya kampeni   katika Jimbo la Monduli.

Akiwa Monduli mjini kwenye mkutano uliofanyika katika uwanja wa polisi ambako ndiko nyumbani kwake, Lowassa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA KUANZA "SAFARI YA MATUMAINI" MCHANA WA LEO

Gari iliyombeba Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa ikipita nje ya uwanja wa Sheih Amri Abeid, jijini Arusha mapema leo asubuhi wakati akielekea kwenye Ofisi za CCM Mkoa. Mh. Lowassa anatarajia kulihutubia taifa mchana wa leo kwenye uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid, ikiwa ni sehmu ya kutangaza kwake nia yake ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mtangaza nia ya...

 

9 years ago

Habarileo

Makocha wajaa mcheche Simba, Yanga

ZIKIWA zimesalia takribani siku mbili kabla ya pambano la watani wa jadi Simba na Yanga hofu imetanda kwa makocha na manahodha wa timu hizo baada ya kila mmoja kuona ugumu wa mechi hiyo.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AMWAGA SERA YA MATUMAINI MAPYA SINGIDA

  Capt Mstaaf, John Chiligati aliyekuwa Mbuge wa Manyoni akipunga mikono baada ya kumpigia debe mgombea mpya ubunge wa jimbo hilo, Daniel Mtuka. Chege na Temba wakikamua.…

 

9 years ago

Michuzi

SITOKUWA TAYARI KUTOA MATUMAINI HEWA KWA WANANCHI AMBAYO HAYATEKELEZEKI-DKT MAGUFULI


  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ifakara wilayani Kilombero kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati wake utakuwa wa kiutendaji zaidi ili kufanikisha maendeleo ya haraka kwa nchi na wananchi kwa jumla.
  Wananchi wa mji wa Ifakara waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM ndani ya uwanja wa saba saba wilayani Kilombero,wakimshangilia kwa shangwe Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipowahutubia kwenye...

 

9 years ago

GPL

SITOKUWA TAYARI KUTOA MATUMAINI HEWA KWA WANANCHI AMBAYO HAYATEKELEZEKI-DKT MAGUFULI‏

   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Ifakara wilayani Kilombero kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati wake utakuwa wa kiutendaji zaidi ili kufanikisha maendeleo ya haraka kwa nchi na wananchi kwa jumla.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani