Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK kuongoza mashauriano ya mradi wa mabasi

Rais Jakaya Kikwete anatarajia kuongoza mkutano wa mashauriano ya awamu ya kwanza ya uwekezaji katika mradi wa mabasi yaendayo kasi (DART) utakaowakutanisha wawekezaji wa ndani na nje Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

mkutano wa mashauriano ya uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) waja

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Bi. Asteria Mlambo akisisitiza akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari mwishoni mwa wiki, Jijini Dares Salaam juu ya muhimu wa mkutano wa mashauriano ya  uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) ambao utawakutanisha wawekezaji mbalimbali wa ndani na nje kwenye kituo cha mikutano Mlimani City, jijini Dar es Salaam tarehe 3 na 4 juni,mwaka huu.Mkutano huo unatarajiwa kufunguliwa na Rais Jakaya...

 

9 years ago

Michuzi

Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam

TATIZO la usafiri katika jiji la Dar es Salaam linatarajia kupungua kufuatia kuanza kupindi cha mpito cha mabasi Yaendayo Haraka (BRT) mwezi ujao kufuatia kuwasili kwa mabasi 138 katika Bandari ya Dar es Salaam kutoa China tayari kwa huduma ya usafiri.  Mkuu wa Mkowa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki aliwaambia waandishi wa habari jana wakati alipofanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam kujionea kuwasili kwa mabasi hayo, kuwa wakazi wa Dar es Salaama kwa sasa wataanza kutumia...

 

10 years ago

Mwananchi

Siasa zaingia mradi wa mabasi Dar

Dar es Salaam. Siasa za uchaguzi zinaonekana kuingia kwenye ukamilishwaji wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kutokana na Serikali kuhaha kutaka uzinduliwe kabla Rais Jakaya Kikwete hajaondoka madarakani.

 

11 years ago

Habarileo

Wawekezaji wa mradi wa mabasi ya kasi kukutana

RAIS Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuongoza mkutano wa mashauriano ya uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi ya Haraka (DART), utakaowakutanisha wawekezaji mbalimbali wa ndani na nje kwenye kituo cha mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Mabasi 138 ya mradi wa BRT yawasili Dar

TATIZO la usafiri katika Jiji la Dar es Salaam linatarajia kupungua baada ya mabasi 138 ya Mradi wa mabasi Yaendayo Haraka (BRT) unaotarajiwa kuanza kazi Oktoba 2 mwaka huu kuwasili katika Bandari ya Dar es Salaam yakitokea China.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mabasi mradi wa DART kubeba abiria 150


NA RABIA BAKARI
MABASI yanayopendekezwa kutumika kwenye usafiri wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka jijini Dar es Salaam,  ni yale yenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 150 kwa pamoja.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa Watanzania wengi hawana uwezo wa kumudu kununua magari hayo kwa mtu mmoja mmoja, na kwamba kama wana nia ya kuingia katika biashara hiyo, hawana budi kuungana au kushirikiana na wadau wengine wa usafirishaji.
Kauli hiyo ilitolewa na serikali jana, wakati wa mkutano na wadau kutoka nchi...

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa mabasi yaendayo kasi wapiga hatua

MRADI wa mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umepiga hatua nyingine baada ya kupatikana kampuni ya washauri, itakayofanya kazi ya kuhakikisha wanapatikana watoa huduma muhimu kwa mradi huo, unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

DART YARIDHISHWA MAENDELEO YA MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA

Mkuu wa kitengo cha Ufundi, Strabag International, Bw. Peter Simoneit (kulia) akielezea jambo kwa ujumbe wa maafisa waliotembelea kituo kilichokamilika cha Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka eneo la Kimara Resort jana jijini Dar es Salaam. Wanaomsikiliza ni Mkurugenzi wa Uendeshaji na Usimamizi wa Miundombinu wa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Mhandisi John Shauri (wa pili kulia), Meneja Usimamizi na Uendeshaji Barabara, DART, Mhandisi Mohamed Kuganda na Mhandisi wa Mradi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani