Siasa zaingia mradi wa mabasi Dar
Dar es Salaam. Siasa za uchaguzi zinaonekana kuingia kwenye ukamilishwaji wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kutokana na Serikali kuhaha kutaka uzinduliwe kabla Rais Jakaya Kikwete hajaondoka madarakani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam
9 years ago
Habarileo21 Sep
Mabasi 138 ya mradi wa BRT yawasili Dar
TATIZO la usafiri katika Jiji la Dar es Salaam linatarajia kupungua baada ya mabasi 138 ya Mradi wa mabasi Yaendayo Haraka (BRT) unaotarajiwa kuanza kazi Oktoba 2 mwaka huu kuwasili katika Bandari ya Dar es Salaam yakitokea China.
10 years ago
Mwananchi17 Apr
Weledi na umahiri vipewe nafasi mradi wa mabasi Dar
9 years ago
Michuzisehemu ya mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es salaam - UDART
Moja ya barabara zitakazotumiwa na mabasi yaendayo kwa haraka (BRT).Moja ya vituo vitakavyotumiwa na mabasi yaendayo kwa haraka pindi mradi utakapo kamilika kwa ajili ya kubeba abiria.
Kituo cha mabasi yaendayokasi cha Kangwani jijini Dar es Salaam ikiwa ni moja ya vituo vitakavyotumika na mabasi hayo tarehe 10 Januari, 2016.
Mabasi yaendayo kasi yakiwa tayari kwa kuanza safari za kubeba abiria ifikapo tarehe 10 Januari, 2016.
Picha zote na Abraham Nyantori - MAELEZO
9 years ago
Michuzi11 years ago
Michuzimradi wa mabasi yaendayo haraka jijini dar es salaam kuanza kutoa huduma mapema mwakani
11 years ago
MichuziDR.MAGUFULI AKAGUA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM: BARABARA YA KIMARA HADI KIVUKONI KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI SITA
11 years ago
Mwananchi19 May
JK kuongoza mashauriano ya mradi wa mabasi
11 years ago
Habarileo20 May
Wawekezaji wa mradi wa mabasi ya kasi kukutana
RAIS Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuongoza mkutano wa mashauriano ya uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi ya Haraka (DART), utakaowakutanisha wawekezaji mbalimbali wa ndani na nje kwenye kituo cha mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.