Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOHARI: BAADA YA VIFO, WASANII TUMENYOOKA

Stori: Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye sanaa za Kibongo, Blandina Chegula ‘Johari’ amesema kufuatia vifo vya mfululizo vya wasanii, kwa kiasi kikubwa wasanii wamebadilika kitabia. Mkongwe kwenye sanaa za Kibongo, Blandina Chegula ‘Johari’ Akipiga stori na paparazi wetu alisema, wasanii hao wamejitambua kuwa duniani watu wanapita, jambo ambalo kwa muda mrefu walikuwa wamelisahau na kuponda raha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSHITUKO VIFO VYA WASANII

Stori:  Waandishi Wetu
Misiba kila kona! Achilia mbali watu wasiokuwa na majina hasa vijana wadogo, ndani ya saa 24 wamefariki dunia wasanii wanne wa kutoka kwenye tasnia za Bongo Movies na Bongo Fleva, Amani lina habari yenye kuumiza moyo. Benson Okumu, enzi za uhai wake akiwa na mtoto wa marehemu George Okumu Otieno ‘Tyson’… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vifo vya wasanii vyaitesa 5 Effects

VIFO mfululizo vya wasanii wa Klabu ya Bongo Movies Unity vilivyotokea mwezi uliopita, vimeitikisa Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd hali iliyosababisha waweke ratiba ya kufanya ibada ya maombi kila...

 

11 years ago

GPL

DEVOTHA AUNGA MKONO UTABIRI VIFO VYA WASANII

Stori: Mayasa Mariwata MSANII wa filamu Bongo, Devotha Mbaga ambaye ni Katibu wa Klabu ya Bongo Movie Unity, amesema anayaamini maneno ya watabiri kwa kuwa wanayoongea mara nyingi huwa yanatimia. Msanii wa filamu Bongo, Devotha Mbaga Akipiga stori na paparazi wetu baada ya mtabiri mashuhuri, Hassan Yahya Husein kutabiri vifo vya mfululizo vya wasanii ambavyo kweli vimetokea, Devotha alisema ameamini utabiri huo na kuzidi...

 

11 years ago

GPL

VIFO VYA WASANII VITAENDELEA MPAKA APRILI 2015 - MAALIM HASSAN HUSSEIN YAHYA

Mtabiri Maalim Hassan Hussein Yahya amesema kuwa vifo vya wasanii na mastaa vitaendelea mpaka Aprili 2015 wakati akiongea na Global TV Online. Ili kujua sababu za vifo hivyo, usikose kuangalia Global TV Online na kusoma magazeti ya Global…

 

11 years ago

Bongo Movies

Ndoa ya Ustazi Juma na Johari yanukia. Asema Johari atakuwa mke wake wa pili

PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo movies.

 

Kwa mujibu wa mtandao wa GPL zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.

“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini...

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii wasisahau kuna maisha baada ya uchaguzi — Quick Rocka

Quick Rocka ametoa ushauri kwa wasanii wenzake kuacha kujihusisha na siasa moja kwa moja na badala yake hata wanapoitwa kwenye kampeni waendelee kutoa burudani ambayo ndio kazi yao. “Sijui kuna nini lakini naona kama wasanii wamejivika siasa ambayo sio kazi yao, kuna wengine ukiwauliza hawana hata kadi ya chama, ila wamejitwisha kitu ambacho sicho, wasisahau […]

 

10 years ago

Bongo5

Wakenya wamkalia shingoni Victoria Kimani baada ya kuwaambia hawasupport wasanii wao

Victoria Kimani analihisi joto la hasira kutoka kwa wakenya walioanzisha hashtag #SomeoneTellVictoriaKimani baada ya juzi kuwalalamikia kuwa wamekuwa nyuma kuwaunga mkono wasanii wao. “Life without art is hell….how can the Kenyan youth not have an interest in the arts ? Who robbed us of our self expression?” alitweet Kimani. “Lupita had to travel and be […]

 

10 years ago

Bongo5

Alichokisema Mwana FA baada ya kile alichokiona kwenye Fiesta Dar kuhusu wasanii wa Bongo

Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA ni miongoni mwa wasanii waliopata nafasi ya kupanda jukwaa moja na rapper T.I kutoka Marekani, usiku wa Jumamosi October 18 pale viwanja vya Leaders Club jijini Dar katika tamasha kubwa la Serengeti Fiesta 2014. Licha ya kufanya show kali lakini pia Binamu alikuwa ni mtazamaji wa show za wasanii wengine […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani