Johari Rotana washerekea siku ya wanawake duniani kwa kula chakula cha mchana na wanawake
Wafanyakazi wa hoteli ya Johari Rotana washerekea siku ya wanawake duniani kwa kula chakula cha mchana na wanawake, hii ni kuona mchango wa wanawake katika jamii.Mkurugenzi wa masoko wa hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, Brigitte Alfred (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa mauzo ya hoteli Johari Rotana, Amina Kapya (kulia) na Mkurugenzi mtendaji wa CCBRT, Brenda Msangi mara baada ya hafla ya chakula ya mchana iliyoandaliwa na hoteli hiyo kwa ajili ya kusheherekea siku wa wanawake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziECOBANK WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Maadhimisho hayo yaliyofanywa na Ecobank leo jijini Dar...
5 years ago
Michuzi
TAWA WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Wakati Dunia inaadhimisha siku ya Wanawake Duniani Wanawake Nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya Majangili ili kulinda Nyala za Serikali hususani Wanyamapori.
Wito huo umetolewa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani,Manispaa ya Morogoro na Bi Cassia Mayombo kutoka kitengo cha Utawala Mamlaka ya Wanyamapori Tanzania(TAWA ) alikupokuwa anaongea na Michizi Blog,ambapo amesema kuwa wao kama TAWA wanatambua mchango...
11 years ago
GPLMUUNGANO WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YANAYOTETEA HAKI ZA WANAWAKE WASHEREKEA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Kijiji cha Gongoni wilayani Kilosa waadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, wanawake wapata hati miliki za ardhi
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Wanawake wa MSD washerehekea siku ya wanawake duniani kwa aina yake
Bw. Mwaifani akimkaribisha mgeni rasmi wa sherehe hizo, Bi.Helen Mwakipunda ambaye ni Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Matlida Ngarina aliyealikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya...
10 years ago
GPLWANAWAKE WA MCD WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA AINA YAKE
5 years ago
BBCSwahili08 Mar
Siku ya wanawake duniani 2020: Kwa picha wanawake walivyosherehekea jijini Dar es salaam