Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAWA WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

NA FARIDA SAIDY MOROGORO
Wakati Dunia inaadhimisha siku ya Wanawake Duniani Wanawake Nchini  wametakiwa  kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya Majangili ili kulinda Nyala za Serikali hususani Wanyamapori.

Wito huo umetolewa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani,Manispaa ya Morogoro  na Bi Cassia Mayombo kutoka kitengo cha Utawala Mamlaka ya Wanyamapori Tanzania(TAWA ) alikupokuwa anaongea na Michizi Blog,ambapo amesema kuwa wao kama TAWA wanatambua mchango...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Johari Rotana washerekea siku ya wanawake duniani kwa kula chakula cha mchana na wanawake

Wafanyakazi wa hoteli ya Johari Rotana washerekea siku ya wanawake duniani kwa kula chakula cha mchana na wanawake, hii ni kuona mchango wa wanawake katika jamii.Mkurugenzi wa masoko wa hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, Brigitte Alfred (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa mauzo ya hoteli Johari Rotana, Amina Kapya (kulia) na Mkurugenzi mtendaji wa CCBRT, Brenda Msangi mara baada ya hafla ya chakula ya mchana iliyoandaliwa na hoteli hiyo kwa ajili ya kusheherekea siku wa wanawake...

 

5 years ago

Michuzi

ECOBANK WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

LEO Machi nane dunia inaadhimisha ya siku mwanamke duniani na hapa nchini mashirika na taasisi mbalimbali zimeadhimisha siku hiyo kwa namna mbalimbali huku kauli mbiu ikiwa ni "Kizazi Cha usawa kwa Maendeleo ya Tanzania ya Sasa na baadaye." na kwaupande wa Ecobank Tanzania wameadhimisha na kusherekea kwa kujizatiti zaidi katika kuhakikisha wanawake kutoka Benki hiyo pamoja na wote wanaozunguka jamii wanainuliwa katika nafasi mbalimbali.
Maadhimisho hayo yaliyofanywa na Ecobank leo jijini Dar...

 

11 years ago

GPL

MUUNGANO WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YANAYOTETEA HAKI ZA WANAWAKE WASHEREKEA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI

Kutoka kushoto ni Miss Tanzania 2013 Happy Watimanywa , Dk. Agnes Nyomola kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye ni Mtaalam wa mambo ya Sayansi, na Specioza Rweyemamu ambaye ni Ispecta katika mambo ya anga katika Mamlaka wa usafiri wa Anga Tanzania, ambao ndio walikuwa wasemaji katika sherehe hizo
  Dk. Agnes Nyomola kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye ni Mtaalam wa mambo ya Sayansi akizungumza na wanafunzi...

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya wanawake Duniani: Ilikuwaje Machi 8 ikawa Siku ya Wanawake Duniani

Tunaangazia siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa Machi 8 kila mwaka kuanzi jinsi siku hii muhimu iliyobuniwa zaidi ya karne moja ilyopita.

 

5 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU MZUMBE WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE NA WANAFUNZI, WASICHANA WAASWA KUSOMA MASOMO YANAYO TUMIA RASILIMALI ZAIDI


CHUO kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam wamesheherekea siku ya Mwanamke Dunia kwa Kuzungumza yapasayo mtoto wa kike na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Hananasif jijini Dar es Salaam leo.
Wanafunzi hao wameaswa kusoma masomo ambayo hayatumii watu wengi na kusoma masomo ambayo yanatumia rasilimali ili iwe rahisi kuajiliwa na kujiajili wenyewe.
Hayo ameyasema Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Dkt. Godberther Kinyondo jijini Dar es Salaam leo wakati wa...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA (TCDC) WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
 Picha ya Pamoja ya Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa tayari kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Jijini Dodoma
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa na Bango la maandamano lenye Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika wakiwa katika maandamano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wa MSD washerehekea siku ya wanawake duniani kwa aina yake

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya Akina Mama Duniani zilizofanyika.

Bw. Mwaifani akimkaribisha mgeni rasmi wa sherehe hizo, Bi.Helen Mwakipunda ambaye ni Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.

Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo.

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Matlida Ngarina aliyealikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani