Juventus yaichapa Real Madrid 2-1 UEFA
Timu ya Juventus ya Italia imefanikiwa kuwabwaga mabingwa watetezi wa Kombe la Uefa, Real Madrid mabao 2-1
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 May
Juventus yaiangusha Real Madrid
Katika hali isiyotarajiwa Juventus ya Italia imeingia fainali ya klabu bingwa barani Ulaya ,kwa goli 3 kwa 2 dhidi Real Madrid ya Hispania.
10 years ago
BBCSwahili05 Aug
Audi:Real Madrid yaichapa Tottenham
Miamba ya soka wa Hispania Real Madrid wameichapa timu ya Tottenham 2-0 katika mchezo wa nusu fainali wa kikombe cha Audi
10 years ago
GPL5 years ago
Mirror Online19 Mar
Man Utd set Juventus and Real Madrid new asking price for Paul Pogba transfer
Man Utd set Juventus and Real Madrid new asking price for Paul Pogba transfer Mirror OnlineOpinion: 5 youngsters who could break through at Manchester United next season CaughtOffsidePaul Pogba and Mino Raiola have four reasons to stay at Manchester United Manchester Evening NewsMan Utd's best line-up? Solskjaer could follow Les Bleus-print to integrate both Pogba and Fernandes SquawkaDimitar Berbatov questions Paul Pogba and Bruno Fernandes partnership The Peoples PersonView Full...
10 years ago
BBCSwahili10 Mar
Real Madrid , Schalke 04 uwanjani UEFA
Michuano ya Klabu Bingwa barani ulaya leo unaendelea ambapo FC Porto ya Ureno itamenyana vikali na FC Basel ya Uswis huku Real Madrid wakipepena na Schalke 04 ya Ujerumani.
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Real Madrid na Man City zashinda UEFA
Mechi za Klabu Bingwa zilizochezwa hapo jana Real Madrid na Manchester City ni miongoni mwa Timu zilizopata ushindi.
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Real Madrid, Porto robo fainali UEFA
Pamoja na Real Madrid kufungwa hapo jana na Schalke 04 ya Ujerumani kwa magoli 4 - 3 katika mechi ya klabu barani ulaya timu hiyo imefanikiwa kuingia robo fainali ya michuano hiyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania