Jux adai hataachia wimbo mpya mpaka ‘Looking For You’ ifikishe views mil 1 YouTube
Jux ameamua kujipa changamoto ngumu. Muimbaji huyo amesema hataachia wimbo mpya hadi pale video ya wimbo wake Looking For You itafikisha views milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. “Lets hit 1 million views on this Looking for you and I will drop a new ,” ameandika kwenye Instagram. Tatizo ni kuwa hadi sasa wimbo huo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo526 Oct
Adele avunja rekodi ya Youtube kwa wimbo wake mpya ‘Hello’ kupata views milioni 25 siku ya kwanza
Adele, Mwimbaji kutoka Uingereza amerudi kwa kishindo baada ya kuweka rekodi mpya ya Youtube kupitia wimbo wake mpya ‘Hello’ uliotoka Ijumaa Oct.23. Ndani ya saa 24 toka video ya wimbo huo iwekwe kwenye mtandao wa Youtube imetazamwa mara milioni 25, na kuvunja rekodi iliyowekwa na Taylor Swift na Kendrick Lamar ambao collabo yao ‘Bad Blood’ […]
9 years ago
Bongo507 Sep
Rekodi mpya ya Youtube yafikiwa, huyu ni mtu wa kwanza kufikisha views bilioni 10 za video zake!
PewDiePie kwa wale ambao hawamfahamu ndio mtu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Youtube. Hadi sasa PewDiePie ana zaidi ya subscribers milioni 39. Weekend hii mtu huyo alifikisha views bilioni 10 za video zake zote kwa pamoja, kitu ambacho kimevunja rekodi ya mtandao wa Youtube kwakuwa imevuka kaunta yake (kikomo cha views). Hii si […]
10 years ago
Bongo521 Nov
Video mpya ya Diamond ‘Ntampata Wapi’ imevuka views laki moja Youtube ndani ya saa 24
Video mpya ya Diamond platnumz ‘Ntampata wapi’ imekuwa na mapokeo mazuri kiasi cha kuwavutia watu wengi kutaka kuitazama kila wanaposikia kuwa imetoka. Video hiyo iliyoanza kuchezwa na vitu vikubwa vya nje kikiwemo MTV Base juzi kabla haijasambazwa kwenye vituo vya hapa nyumbani jana, mpaka sasa imefanikiwa kupata views 116,967 kwenye mtandao wa Youtube, ikiwa ni […]
10 years ago
GPL10 Sep
10 years ago
Bongo510 Sep
Jux ataja kiwango alichotozwa na Mabeste kumwandikia wimbo wake mpya ‘Sisikii’, ni zaidi ya 1M na ameilipa
Wasanii wengi wa bongo siku hizi hawawaandikii bure nyimbo wasanii wenzao sababu imegeuka kuwa biashara inayolipa, kitu ambacho kimemkuta Jux pia ambaye single yake mpya ‘Sisikii’ iliyotoka jana ameandikiwa na rapper Mabeste. Akizungumza wakati anautambulisha wimbo huo jana kupitia XXL ya Clouds Fm, Jux amesema alipomfata Mabeste na kumwomba amwandikie wimbo alimwambia atafanya hivyo lakini […]
10 years ago
Bongo511 Sep
Jux azungumzia tetesi za kuhusu wimbo wake mpya ‘Sisikii’ kama amemuimbia Vanessa Mdee
Mwimbaji wa R&B Jux ameendelea kukana tetesi za kuwa na uhusiano na Vanessa Mdee aka Vee money , ambao wameonekana kuwa karibu sana kwa siku za karibuni. Tetesi hizo zimepelekea watu kuhisi kuwa wimbo wake mpya ‘Sisikii’ alioutoa wiki hii amemuimbia Vanessa. Hii si mara ya kwanza kwa Jux kusemekana kutoa wimbo ambao amemwimbia msichana, […]
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiHOLE0PU-xrc7lTy4NJdQros2HRDf6ffqp8Mk9W*zq5lUbvl2JxN7cTGqLWdJ2tTCKxSnNWe5gqhc9qfOAzv3Ps/BELA.jpg)
CHRISTIAN BELLA ADAI HATOI WIMBO MPYA ILI APATE TUZO
KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’. KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ amefungukia ujio wake wa sasa wa Ngoma ya Amerudi aliyoizindua mwishoni mwa wiki iliyopita kuwa hatoi wimbo mpya ili apate tuzo. Staa huyo anayebamba na Ngoma ya Nashindwa, aliwaambia mashabiki wa muziki wa Dansi waliokuwa wamefurika katika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar katika...
9 years ago
Bongo509 Oct
Wiz Khalifa awa msanii wa kwanza wa Hip Hop kufikisha views bilioni 1 Youtube, ni kupitia ‘See You Again’
Video ya rapper Wiz Khalifa ‘See You Again’ imemfanya kuwa msanii wa kwanza wa Hip Hop kufikisjha views bilioni 1 kwenye mtandao wa Youtube. Mbali na kutazamwa mara bilioni 1, lakini ‘See You Again’ pia inakuwa ni video ya 10 katika video zilizotazamwa zaidi Youtube. Video zinazoongoza Top 10 ya video zilizotazamwa zaidi kwenye mtandao […]
10 years ago
Bongo506 Sep
‘Sugua Gaga’ yaipiku ‘Number 1 remix’ kwa kupata views nyingi Youtube ndani ya miezi mitano
Hadi mwishoni mwa mwezi uliopita, video ya remix ya hit single ya Diamond Platnumz, ‘Number One’ aliyomshirikisha staa wa Nigeria, Davido ilikuwa ni video ya kwanza kutoka kwa msanii wa Tanzania kupata views nyingi zaidi ndani ya miezi chini ya sita. Hata hivyo rekodi hiyo sasa imevunjwa na video ya Shaa, Sugua Gaga, thanks kwa […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania