Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jux Sisikii [Official Music Video]

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Bongo5

New Video: Jux — Sisikii

Jux ameachia video ya wimbo wake ‘Sisikii’ iliyoongozwa na Zeddy Benson. Kwenye video hii Vanessa Mdee ndiye msichana aliyeigiza kama mpenzi wake na Jux (kitu ambacho katika maisha halisi ni kweli).

 

10 years ago

Jamtz.Com

10 years ago

Michuzi

Jux aachia ‘Sisikii’ redioni

Na Andrew Chale
MWANAMUZIKI nyota anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki nchini, Juma Mussa ‘Jux’ anayetamba zaidi  na vibao vya ‘Uzuri wako’ na ‘Nitasubiri’, ameachia rasmi wimbo wake mpya wa ‘Sisikii’ katika stesheni mbalimbali za redio.
Akizungumza jijini Dar es Salaam , Jux alisema wimbo huo wa ‘Sisikii’ ameutengeneza kwa Mtayarishaji  Maneke wa AM rekodi, ambao ni zawadi nyingine kwa mashabiki wake wote duniani.Jux aliwataka kuupokea kwa mikono miwili na wasubiri video ambayo itakuwa...

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani